Vifo ya ghafla wajane/ wagane wanakutana na mambo mazito kwenye simu ya marehemu

IKIRIRI

IKIRIRI

JF-Expert Member
Jan 14, 2018
2,673
2,000
Mara baada ya kifo simu zinakuwa chini ya mgane au mjane.

Kwa kipindi hiko baada ya kifo baadhi ya michepuko wanakuwa hawana taarifa ya kifo.

Hapo ndipo maumivu yanazidi because anagundua madudu ya mwenzi wake.

Hii imetokea kwa jirani yangu anadai uchungu wote umeisha baada ya kugundua usaliti wa hali ya juu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
aretasludovick

aretasludovick

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
6,332
2,000
Sasa kama uchungu wote umeisha si afurahi na kumtukuza Mungu wake?
Hiyo ni neema eti uchungu wa kufiwa unapokoma
 
pappilon

pappilon

JF-Expert Member
Jan 27, 2015
2,981
2,000
Mara baada ya kifo simu zinakuwa chini ya mgane au mjane.

Kwa kipindi hiko baada ya kifo baadhi ya michepuko wanakuwa hawana taarifa ya kifo.

Hapo ndipo maumivu yanazidi because anagundua madudu ya mwenzi wake.

Hii imetokea kwa jirani yangu anadai uchungu wote umeisha baada ya kugundua usaliti wa hali ya juu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Jirani yako ni mgane au mjane???tuanzie hapo kwanza mengine yatafuata
 
Top Bottom