Msaada kwa mwenye uelewa,tiba&ushauri

Hainz_04

Member
Dec 23, 2019
49
24
Jamani ninakosa kujiamini pale
Ninapokua faragha na mtu wangu hasa machine yangu ikiwa imelala inakuwa ndogo lakini ukisimama mzigo unakuwa kwenye saiz inayotakiwa nina23yrs ....tushee experience
Asanteni
 
Back
Top Bottom