Natafuta Mpenzi nimechoka kuwa mpweke

kantananati

Member
Dec 11, 2019
14
30
Kama Kichwa cha nyuzi kinavyosema.Natafuta Mpenzi ili baadaye awe kuja kuwa mke.

Sifa zangu;

Jinsia Me
Umri 30
Kazi Muajiriwa
Kimo Sio mrefu wala mfupi
Elimu yangu. Shahada ya kwanza

Ninayemtafuta

Asiwe mnene sana
Rangi yeyote
Shape iwe tu ya kike.
Urefu wa kawaida
Elimu kuanzia Diploma

Awe anaishi Dar au Pwani

Akiwa mwanafunzi wa chuo atapewa kipaumbele zaidi


Karibu PM.
 
Aiseeee happy kwenye diploma unataka kunipa posho kulingana na elimu yangu vipi akijitokeza mwenye PhD kama mbili hivi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom