Mapenzi yapo, umepata? Utapata? Au hutopata kabisa??😌😌

Mapenzi yapo, umepata? Utapata? Au hutopata kabisa??😌😌

client3

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2007
Posts
2,331
Reaction score
3,200
Mapenzi halisi yapo, wachache wamegusa kuonja na kuona mapenzi halisi, lakini it’s fate kama ilivyo kwa mambo mengine kwenye maisha kama elimu, afya njema, ustawi katika uchumi, kukubalika katika jamii( kibali machoni pa watu) si kila mtu anabahatika kupata.
 
Sina.
Sijui kama nitapata.
Hata nisipopata fureeshii tu.
 
Ninayo permanent ya mama mzazi tu baaasi.
 
Mapenzi ya kweli ni kama jini,
hulioni wacha liliyemuona kwani yeye ana nini?
Unamwita queen na una passion ya kumuona
Simu yake ina PIN na ma'password kila kona
Na majina "kaka dabra" kumbe ni Ibrah yani Roma
Na aliemsave kama "baba" umejiba naye kinoma...
Tukienda kasi kuna rafiki wa fast,kiasi kwamba hata your first love hawezi kuwa your last
Unamwita darling au wifey mama mamito
Unapata habari kuna walafi wanamla hadi jicho
 
Daaah huu nao ukweli kabisaaa

Mapenzi halisi yapo, wachache wamegusa kuonja na kuona mapenzi halisi, lakini it’s fate kama ilivyo kwa mambo mengine kwenye maisha kama elimu, afya njema, ustawi katika afya, kukubalika katika jamii( kibali machoni pa watu) si kila mtu anabahatika kupata.
Oouh...umeyaonja mpendwa weye?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom