Huu mkasa amenisimulia shoga yangu leo hii. Nikaona isiwe tabu na mie nitoe onyo hapa JF.
Huyu shoga yangu tangia alivyosikia kwenye bajeti ya Serikali kuwa mawigi na maurembo mengine...
Kiukweli nashindwa kuelewa uhalali wa ndoa ya mkeka
Ndoa ya mkeka ni ndoa ambayo huwalazimisha vijana kuingia katika ndoa kuwaepusha na kuendeleza zinaa
Hufanywa kwa kuwavamiwa watoto hao wawapo...
Nashangaa mno navyomwona kaka yangu anavyofurahia na kujitamba analelewa.
Mwanaume wa ukweli hawezi muomba mwanamke wake pesa .Wanaume acheni hiyo tabia
Habari zenu wakuu ni Matumaini yangu wote ni wazima!
Nimshukuru mungu kwa Pumzi alionipa bado ningali nahema, Maana bila yeye saizi nisingeliitwa "YoungTozy" ningeitwa Marehemu,
Aseeh na...
Jamani kwa mara nyingine tena naomba niwajuze kuwa nahitaji mwanamke wa kiarabu na nikisema mwanamke wa kiarabu nina maana mwanamke wa kiarabu naomba niwasilishe.
Kama ambavyo kichwa cha habari kinajieleza. Kumekuwa na wimbi kubwa la wake kwa waume wote wakilalama juu ya kukosa furaha na faraja ktk ndoa zao.
Imefika hatua aliyeoa anajuta kwanini alioa na...
Habar wadau?
Naomba niulize humu Swali dogo halafu Majibu tutayapata na hakika yanaweza kutusaidia katika suala zima la kusifia Wapenzi wetu.
Maana kumsifia mpenzi kunaimarisha mahaba motomoto...
Habarini wakuu,
Sijui naanzaje kueleza maana nshachanganyikiwa anyway let me try.
Ni hivi, kuna mwanamke mmoja nina mahusiano nae takribani miaka miwili na nusu sasa. Sio siri/utani huyu...
Jambo moja kwa hakika: Ukiona mwanaume yeyote unayemfahamu kwenye maisha yako analia tambua kwamba kuna jambo haliko sawa. Hii ni tofauti na kwa wanawake ambapo wakilia sio lazima kuwe na tatizo...
Habari wakuu, natumaini mu wazima katiaka pilika za kimaisha. Leo mimi ndugu yenu, mdogo wenu naomba kujua maana ya ili linalonikumba.
Mimi ni kijana makamu ya 25Me nipo kwenye mahusiano na...
Mara umepaka mkongo,mara umekunywa konyaji,mara Viagra, mara sijui umekunywa midawa gani sijui. Papuchi hii hii niniyoijua mimi ndiyo inakupelekesha hivyo!
Utapaka takataka zote na utakunywa...
Kuna nyuzi zangu kadhaa nilileta hapa jukwaani nikipinga vikali sana suala la kuoa nikitoa na mifano halisia lukuki.
Tukiachana na hilo leo niwaase vijana ambao tumetokea mikoani tukaja hapa...
Katika jambo linalonihuzunisha na kuniumiza kwa sasa ni kuona wanawake wakilaumiwa na kutukanwa na hata kudhalilishwa katika maeneo mbalimbali .. Mfano wapo wanawake ambao wamepata watoto kabla ya...
Kama tittle inavyojieleza naombeni mbinu za kujitoa kwenye chama la wana CHAPUTA, completely, nimejaribu mara kibao kutaka kurudisha kadi ila nashindwa kuna kipindi hapo kati nimekaa mpaka about...
Oozah inakua niaje waenduru wa humu fiade?..ni full wazeya?!bas ni full aikunyi.
Ebhana eeh juzi kade apa nikiwa chimbo ndichi na wajuba tunakula vitu vyetu mala chapcheree katimba chali'etu...
Yaani mara ya kwanza kumtumia demu msg ya kumtaka kimahusiano basi kama dakika 3 hivi msg ikaingia kwenye simu yangu basi kwa ule mshtuko niliopata sikuifungua muda huo kwanza niliendelea kufanya...
Ushauri, mchumba wangu anadai kapoteza Pete ya uchumba, hivi hili jambo, linakaaje yani, limenichanganya mpaka sasa sijaoa, ushauri bha ndugu, nipeni uzoefu hapa,
:panda::panda:Rafiki yangu anatafuta seroius mchumba atakaye kuwa mke ndani ya kipindi kisichozidi mwaka mmoja , Kwanini rafiki yangu? Yeye amesoma kufikia ngazi ya kuwa Padre na...