Mchumba serious anahitajika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mchumba serious anahitajika

Discussion in 'Love Connect' started by Kiroroma, Apr 24, 2011.

 1. Kiroroma

  Kiroroma JF-Expert Member

  #1
  Apr 24, 2011
  Joined: Feb 6, 2009
  Messages: 368
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  :panda::panda:Rafiki yangu anatafuta seroius mchumba atakaye kuwa mke ndani ya kipindi kisichozidi mwaka mmoja , Kwanini rafiki yangu? Yeye amesoma kufikia ngazi ya kuwa Padre na kuamua kufanya kazi nyingine hivyo kujitoa katika useja.Amechelewa kuoa hivyo ana nia ya dhati kabisa kumpata mwenzi wa maisha.Kwa hali hiyo kaniomba kufanya head hunting za mwenye sifa zifuatazo;
  • Mcha Mungu awe Mkristo Mkatoliki
  • Msomi mwenye shahada japo ya kwanza
  • Mwenye utashi wa kujiendeleza kitaaluma
  • Umri usiozidi miaka 35
  • Mwenye upeo wa kimataifa na safari za nje ya nchi mara kwa mara
  Kwa mwenye vigezo hivyo na ambaye yuko serious ani PM nimpe maelekezo bayana.
   
 2. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #2
  Apr 24, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  huyo padre hajui kutongoza? Huyo mwanamke utakayemoata atakuwa wako au wake? Mwambie atafute mwenyewe, enzi za kutafutiwa zimeshaisha!!
   
 3. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #3
  Apr 24, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  hataki mke huyo, kwanza mke hatafutwi hivyo na huwez kuweka eti sifa kama zilivyokaa hapo....padre mkatoliki anataka kuoa? ila sio kosa lake, kusoma kote huko hajawaona wenye sifa anazotaka? kama hakuona kipindi chote hcho, bas hatompata kamwe.
  pole yake,
   
 4. Kiroroma

  Kiroroma JF-Expert Member

  #4
  Apr 24, 2011
  Joined: Feb 6, 2009
  Messages: 368
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Mkuu kinachofanyika ni head hunting wala si kwa nia kama unavyosema bali ni kutazama jambo kwa upeo mkubwa zaidi.
   
 5. Kiroroma

  Kiroroma JF-Expert Member

  #5
  Apr 24, 2011
  Joined: Feb 6, 2009
  Messages: 368
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Mpaka kufika hapa Mkuu nia ipo sana ujue kuna mazingira na mazingira ya kumpata mwenzi,Watu wametumia facebk,mitandao kwa jinsi tofauti kupata wenzi wao wa maisha.Hivyo hii ni mojawapo tu ya njia nyingi anazotumia kupata wa kuishi naye.Kama ujuavyo seminari siyo mahala pa kuchanganyika hivyo ilimuwia vigumu wakati huo.
   
 6. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #6
  Apr 24, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  LADIES MPOOOO, KICHWA HICHO CHATAKA JIKO:spy:
   
 7. Kiroroma

  Kiroroma JF-Expert Member

  #7
  Apr 24, 2011
  Joined: Feb 6, 2009
  Messages: 368
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Assignment hii alinipa siku nyingi sikupata muda wa kutosha nikaona wakati huu wa Easter holiday nimfanyie on my side
   
 8. Ibrahim K. Chiki

  Ibrahim K. Chiki Verified User

  #8
  Apr 24, 2011
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 594
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  CRAP.....umekosea jukwaaa.
   
 9. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #9
  Apr 24, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  Nampa pole sana kwa kujipiga masta kwa sana maana aliingiziwa mambo ambayo si asili ya mwanadamu,katika injili ya Yesu hakuna msitari unaoharalisha kuwa viongozi wa dini wasioe, huo ni uzushi katika Injili.
  Kisha namshaa huyo Padre, kama kweli kaacha kwa lidhaa ya kanisa bila zengwe lolote siachague katika waumini wake pale kanisani? maana asipofanya ivi atajikuta anachukua mke wa mtu kama Padre Slaa ambaye mpaka leo anaona aibu kufunga ndoa na mke wa mtu hali ya kuwa ndoa kwa itikadi sahihi ya kanisa ni mpaka mmoja wa walioowana awe amefariki dunia.
   
 10. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #10
  Apr 24, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  kwahiyo toka hizo siku nyingi yeye yupo kimya tu? au alisha pata pa kugonga? maana mapadre kwa waumini wao hasa wale masister wanaokuwa nao!!!
   
 11. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #11
  Apr 24, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Afanye maombi atapata kwa uwezo wa Mungu..
   
 12. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #12
  Apr 24, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Namfahamu Fr mmoja aitwae Kiloloma! Usije ukawa ni weye!
  Nami nina rafiki yangu wa kike (sifa hizo anazo) ila naye anatafuta mchumba mwenye sifa zifuatazo:
  1: awe ana Phd lakini awe muajiri sio muajiriwa
  2: awe na nyumba yenye Jiko la ukubwa wa 10x10m
  3: ajue kupika, kudance na asiwe mlevi
  4: aweze kumpa at least 1 holiday abroad kwa Mwaka
  5: awe virgin

  Kama huyo rafiki yako anaqualify aniPM ili nimuunganishe na rafiki yangu.
   
 13. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #13
  Apr 24, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hapa sasa!!!

  [/B]
  Vs

  Nani zaidi????:spy:
   
 14. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #14
  Apr 24, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  dah,padri keshaonja apple sasa anataka kupanda mti kabisa
   
 15. m

  mbongopopo JF-Expert Member

  #15
  Apr 24, 2011
  Joined: Jan 24, 2008
  Messages: 1,112
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Wewe umeshaoa? Huna mwanamke amsaidie kutafuta? Hana sisters etc
   
 16. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #16
  Apr 24, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Kiroroma,

  Usimsaidie mtu huyu kutenda dhambi!..mwache abebe msalaba wake!

  Kama amekuwa Padre, na ghafla anataka kujitoa, basi mtu huyu hana busara ya kutosha!
  Si wa kutegemewa, na kiume ni kwamba hana maamuzi!

  Lakini pia hata akisonga mbele na kuoa, basi aTASABABISHA MAJUTO KWAHUYO mwanamke, coz he will keep changing now and then, na kwake kutakuwa nyumba ya majuto kila uchao!

  Kuna watu wenye tabia mbaya sana hawa, ambao wanalidanganya kanisa, wanasomeshwa kufikia hatua hizo(PHD) halafu wanaamua kukimbia kufanya mambo mengineyo...Ihate them badly!...Naomba unifikishie salamu kwa rafiki yako kuwa sijamfurahia kabisaa!

  Sasa kama mtu hawezi hata kujitafutia mchumba in the first place, unategemea ataamua maamuzi yoyote magumu huyu?
  Halafu inakuwaje atafute mchumba kwa vigezo vya namna hiyo utadhani wanawake wako Kariakoo wamepangwa?
  Ameshindwa nini kuONYDESHA nia yake kimya, na halafu vigezo hivyo wakavijadili kwenye pm?..
  Anaonekana ni mtu complicated sana huyo...Haya wadada, Paroko huyo hapo!
  Nimeachwa hoi na kigezo cha SAFARI ZA NJE ZA MARA KWA MARA!...(my hairs):A S 465:
   
 17. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #17
  Apr 24, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Hatupendi wanaume madomo zege. Aje mwenyewe kutafuta.
   
 18. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #18
  Apr 24, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,016
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Kigezo kimesimama.Kina dada pasipoti ndo itakaguliwa kama imejaa visas
   
 19. Kiroroma

  Kiroroma JF-Expert Member

  #19
  Apr 24, 2011
  Joined: Feb 6, 2009
  Messages: 368
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Wapendwa tupunguze masihara kwenye mambo ya msingi kwa mwenzetu huyu ni kwamba yuko njia panda ataka msaada wenu wa mawazo na kupatia mwenzi wake wa maisha.ANAMAANISHA!
   
 20. Kiroroma

  Kiroroma JF-Expert Member

  #20
  Apr 24, 2011
  Joined: Feb 6, 2009
  Messages: 368
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Mkuu PakaJimmy nimependa comment zako,Yote uliyosema nimeyachukua lakini ukweli ni kwamba hakutoka useja kwa sababu binafsi tuu, bali alihitajika zaidi kutumika mahali pengine kwa manufaa ya wengi na ambapo asingeweza kuendelea kuwa Fr.Ni kwa nia nzuri sana kupita maelezo yangu.Ni msomi wa juu sana kwa kiwango cha kimataifa, Na muda wa kufanya networking hapa bongo ni mdogo sana.Ana busara na ni mwenye maamuzi kuliko unavyodhania,Na wala hakusudii kuoa na kuacha huku na kule namfahamu kwa upeo wangu.
   
Loading...