Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kuna Mjadala mkali sana Unaendelea twitter, kuhusu domestic violence. Ukihusisha watu wa kawaida, celebrities, Twitter influencers wadau wa haki za wanawake "Feminist" nchini Tanzania. Mjadala...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Wakuu nina ndoa ya kama Mwaka mmoja hivi! Wife tulioana kila mtu akiwa na maisha yake, I mean alikuwa anajitegemea na mimi najitegemea! Tukaamua kuanzisha makazi mapya, tuachane na yale ya...
14 Reactions
229 Replies
22K Views
Wakaka acheni ujinga, ukitaka dem wa peke yako basi jua kugharamia. Nakwambia wanawake asilimia kubwa hukumbuka fadhila za mtu anayemgharamikia kuliko wanaume wa ai lavii yuu maneno...
11 Reactions
102 Replies
13K Views
Baada ya kusoma mpe ushauri huyu bidada... I am a Banker in my early 30s and going through a messy divorce. I married my husband as a virgin. I have never been with any man but him until I was...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Wadau hii inanitatiza unakuta mwanamke hajaolewa kabisa tena hana hata mtoto ila amepanga na anaishi pekee yake hata kama nyumbani ni mkoa huo huo je hii ni sahihi kwenu ? Yaani hii inaonekanaje?
2 Reactions
101 Replies
10K Views
Wanawake munatuogopesha kupenda. Mimi nilipenda dada moja mzuri sana akawa anakuja dukani kuchukuwa vitu na wezake kila weekend. Mwenzie mmoja akaomba namba yangu ya simu, nikampa akawa anasema...
9 Reactions
50 Replies
7K Views
Najaribu kumuacha mpenzi wangu ila siri yangu yaani ninavyoumia acheni2. Yaani mchana unashinda vizuriiii ikifika usiku2 mawazo yanaanza, unaanza kushindana naupepo usizimishe kibatari...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Nilikutana na mdada mmoja tukawa tunapiga story kuhusu elimu ya ndoa, baada ya muda fulani kwenye story akaniuliza swali hivi kufika kileleni ni nini? duh! nilichukua muda kidogo kumjibu. Lakini...
0 Reactions
61 Replies
20K Views
Nikifikiri visingizio vya akina mama cha kwanza kibamia,cha pili uwezi mdogo wa kumridhisha,cha tatu kukosa hela na cha nne kulipiza kisasi. Najiuliza tu,ni wanaume wangapi wako sawa kwa yote...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
Kwa muda wa mwaka moja (1) toka tumekua katka mahusiano na binti moja Mzuri kiukwel, figure anayo nampnda sio siri na yeye pia ila tumekua tukisaidiana katka masuala mengi mpk sasa home kwao...
1 Reactions
35 Replies
4K Views
Mchezo huu ambaye hajawahi kuchezewa anyoshe kidole: Demu anakuhaidi anakuja getoo full kusafisha na perfume inaishia kuumwa milija ya pumbu popote waweze kuchezea Kwa mfanya mwanamke HELA, Gari n.k
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Ni jambo gani linakukera sana kama umekaa jirani na mtu au mwenza linakukera? Mimi yangu ni haya: 1. Nimekaa jirani na wewe halafu uanze kupekenyua pua kwa vidole aisee hii inanikera sana...
5 Reactions
32 Replies
4K Views
Nawasalimu wakuu, Imepita kipindi kidogo tangu nimepata mchumba ambae kiukweli nampenda sana na yeye anavosema ananipenda. Nikaamua siku moja kushika simu yake na kuweka programu ya kuhack...
0 Reactions
78 Replies
13K Views
Kwanza niwatakie kheri ya mwaka mpya kwenu nyote ndugu zangu. Suala ninalotaka kuzungumzia Leo linahusu mawasiliano ya simu.Unakuta mtu mpo kwenye mahusiano,kwa siku mtapigiana simu Mara nyingi...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari zenu akina baba na akina mama Msianze kuniuliza mbona title umeandika kimalkia halafu huku unaandika kiswahili? Nimejaribu kutafuta title nimeona hiyo ndio inafit kwenye idea yangu...
8 Reactions
208 Replies
13K Views
Je, ni sawa kwa mwaka mmoja wa mahusiano kumuoa mwanamke? Au inahitaji miaka mingine zaidi! Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Wakuu Nawasalimu... Ama Baada Ya Salamu Niende Kwenye Swali... Hivii Linapokuja Suala La Kuniuliza Ma'MIAKA Na Msichana Ambaye Umepata Namba Yake Humu JF Mfano Au MtandaO Mwingine Wa...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Wakuu heri za mwaka mpya! Kwanza mnisamehe kama nitauliza swali katika jukwaa ambalo silo. Lakini naamini wataalam wapo humu pia. Niende Sasa kwenye mada; Nimekuwa nikiota usiku nakimbia lakini...
1 Reactions
21 Replies
6K Views
Wasalaam Nikiwa na miaka 10,Kuna binti alikua anakuja nyumbani kucheza na ndugu wa kike Mara nyingi kalionesha viashiria vya kunipenda Sana Kama kuniletea tuvyakula au matunda kutoka kwao,lakini...
3 Reactions
63 Replies
7K Views
Mpenzi Mwantumu,mke nikupendaye sana. Pole kwa yaliyokupata.Ni miezi 5 tangu uondoke nyumbani,nyumba imezubaa sana natamani kelele na kero zako kwani zilishakuwa sehemu ya familia yetu. Nilikuoa...
4 Reactions
34 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…