Kwanini wanawake wengi hasa walio ndani ya ndoa hawafikishwi kileleni?

Kwanini wanawake wengi hasa walio ndani ya ndoa hawafikishwi kileleni?

kadeti

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2011
Posts
1,345
Reaction score
1,442
Nilikutana na mdada mmoja tukawa tunapiga story kuhusu elimu ya ndoa, baada ya muda fulani kwenye story akaniuliza swali hivi kufika kileleni ni nini? duh! nilichukua muda kidogo kumjibu.

Lakini nilijitaidi kumjibu kadri ya uelewa wangu, mwisho nikamuuliza; Je, ushawahi kufika? Akaniambia sijui km nishawai kwani ndo maana nimekuuliza maana yake. Basi kwa tathmini hiyo nilibaini kwamba wanawake wengi hawafikishwi kileleni hasa wa ndani ya ndoa.

Je, kufikishwa kileleni ni kwa maana gani kwa wanawake?

Naomba experience kutoka kwenu.
 
Kwahivyo nami nikikuuliza maswli kama hayo ntakuwa sifkag mt kilii???
 
Sasa ulivogundua hafikishwi, umefanya namna yoyote ya kumfikisha au unashoia shoia tu?

Unaakili sana unajua ili jambo bila mawasiliano mazuri na kuwa na uwazi na kuondoa aibu uwezi tatua so kabla ya kulileta huku ongea na mwenzio kuna wengine hisia zao ziko kwenye unyayo so ukisiliza watu wala uwezi tatua kuna wengine watakwambia katafute mizizi kumbe ndo kwanza unajialibu
 
mimi nilishawahi kutembea na wanake kama 30 hiv and above ila niliyowafikisha kileleni hawfiki hata 20 ni ukweli kabisa kuwa wanawake wengi hawafiki kileleni bali wanapiga kelele tuu kwenye bed utazani kasetiwa kumbe hamna ,,,ila anayefika utaona dalili zifuatazo
1. mwanamke anaweza kukumbatia kwa nguvu huku akiwa anagugumia mautamu na pale tuu atakapofika kileleni nguvu humuishia
2. wengine wakifika kileleni wanazimia
3. wengine wakifika kileleni anaweza kukuuma kifuwani au akauuma godoro lako na usipo kuwa makini anaweza kulimaliza
4.Akifika kileleni wengine hupiga kelele kama gari la wagonjwa paka pale anapomalizia kupanda kilele
5.Yapo mengi sana ila wanawake wanatofautiana

N.B
Wengi wanawake huwa wanadanganya kuwa wamefika kileleni ili tu kukulizisha mwanaume kuwa kweli umepiga game kumbe hamna anakuzuga tuu
 
Mi huwa namfisha kila nikikutana nae wf,hata mchepuko nao huwa nawapa fulsa ya kumaliza hamu zao,ktk hili unahitajika ufanye mazoezi uwe na pumzi ndo unaweza tawala mchezo
 
Mke mawazo yote kwenye majukumu ya nyumbani, ofisini bosi anamsumbua, home kurudi amechoka... Mume anawaza kuzisaka hela, nje kuna papuchi mpya anafukuzia, ndugu wengine bado wanamuangalia!!! Huo muda wa kufikishwa huko utatoka wapi
 
wengine hulala fofofoooo baaada ya kufika teh teh teh teh jandoni tulifundishwa enzi hizoo huko maporini ktk mkeka sio siku hizi duuu majanga tu nyie wa hospital.
 
Back
Top Bottom