katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,761
Wadau hii inanitatiza unakuta mwanamke hajaolewa kabisa tena hana hata mtoto ila amepanga na anaishi pekee yake hata kama nyumbani ni mkoa huo huo je hii ni sahihi kwenu ?
Yaani hii inaonekanaje?
Yaani hii inaonekanaje?