Nakapanya
JF-Expert Member
- May 22, 2012
- 2,096
- 709
Kwanza niwatakie kheri ya mwaka mpya kwenu nyote ndugu zangu.
Suala ninalotaka kuzungumzia Leo linahusu mawasiliano ya simu.Unakuta mtu mpo kwenye mahusiano,kwa siku mtapigiana simu Mara nyingi iwezekanavyo,tatizo linakuja MWANAMKE anataka muendeshe mahusiano Kama watoto Wa chuo,muda wote muongee kwa simu.
Ikifika usiku anataka muongee muda mrefu kwa simu,inafika mahali story zinakuwa hakuna mnaishia NIAMBIE,NIAMBIE.Binafsi nakihirika Sana juu ya utaratibu huu na nahisi nashindwa kuuvumilia,nataka kufanya liwalo na liwe.
Je nakosea katika hili au wenzangu uzoefu wenu ukoje katika hili?