Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

USIUMIE KAMA HAKUPENDI.... Usiumie kama hakupendi.ngoja niweke hili jambo vizuri kidogo.yaani ni bora uone kabisa huyo umpendae hakupendi kuliko ajifanye anakupenda kumbe hakupendi.maumivu yake ni...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Kwem jaman mabaharia wenzangu Zero IQ njoo hapa Jana manzi kaja nini mixer kuchezeana sebuleni nikawa natafuta mbinu ya kumchomoa nimpeleke magheto Mungu si adhuman deal done ila kufika mixer...
1 Reactions
47 Replies
4K Views
Hivi mbona huwa hamtupi majibu ya uhakika? Mbali na mapenzi (sex), muna kitu gani kingine cha kutupa sisi wanaume?
5 Reactions
122 Replies
8K Views
Ndugu ni mkasa mfupi mnaweza kushauri, Iko hivi nimeoa ila nafanya kazi ofisi moja na mdada mmoja mzuri sana. Mke wangu pia Ni mzuri thus way nimeamua kumuoa. Lakini tatizo mke wangu haniamini...
1 Reactions
56 Replies
8K Views
Asee wanajamvi Nadhani kila mmoja wetu yupo sawa anapambana na hali yake. Kijana ambaye bado unahangaika kachungulia na kushindana na sehemu ulipotokea usifanye kosa la kula tunda bila ndom a.k.a...
9 Reactions
29 Replies
5K Views
Huyu mtoto wa Geti kali yupo hapa Jijini dodoma kwa wazee wake waliohamishiwa hapa kikazi, mara tu baada ya yeye kumaliza elimu yake ya Juu (Chuo kikuu UDSM), Tatizo ni kwamba wazee wake...
16 Reactions
197 Replies
23K Views
Ni binti wa makamo tu tuliyejuana kwenye daladala. Wakati huo mi natoka kisasa "Jijini Dodoma" mishe zangu kuelekea katikati ya Jiji, na yeye baada ya kumuuliza aliniambia ndio anatoka Dar...
27 Reactions
108 Replies
14K Views
Nilikuwa na mahusiano na binti mmoja hivi Tulikubaliana siku za kukutana kimapenzi. Basi siku moja binti huyo alinifata akaniambia mpenzi wangu ninanyenge sana kivyovyote vile Leo naomba...
3 Reactions
60 Replies
22K Views
Mambo ambayo mwanaume anafanya kukutest kama wewe msichana unafaa kuwa mke wake: 1. Ukienda kwake ukutane na vyombo vichafu na nguo chafu zimejazana usidhani ni mvivu, ni kamtihani anakupa. 2...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mnamo tarehe 22 Oktoba 2019 tulipokea simu toka kwa Ndugu Sudi wa Tandahimba ambaye alitoa taarifa kuwa mzazi mwemzie (mama wa watoto wake) amewatelekeza watoto wao watatu Adam mwenye umri wa...
1 Reactions
2 Replies
627 Views
Anakuchangamkia wewe mpenzi au mume wake kupita maelezo. Hakuombi pesa yoyote ile. Kila mara anapenda kukupigia simu na kukupa maneno matamu na ya kimahaba zaidi. Hapendi uwajue ndugu zake wote au...
2 Reactions
45 Replies
16K Views
Zipo sababu lukuki kwanini tunawapeleka watoto wetu shule za bweni ikiwa ni pamoja na kufiwa na wazazi wao, majukumu ya kusaka riziki kwa wazazi, elimu bora na zingine kadha wa kadha. Leo...
19 Reactions
67 Replies
11K Views
Katika karne hii ya 21 imekuwa ni kawaida sana kwa watu hasa vijana kutafuta wapenzi ama wenzi wa maisha mitandaoni. Lakini swali linakuja; Je ni sahihi kutafuta mpenzi mtandaoni au la? Jibu la...
3 Reactions
45 Replies
7K Views
DA,NDOA ZA MWENDOKASI Mke wangu tuna miaka 10 toka tuoane. Kipato changu na chache hakitofautini sana, ni muda sasa tupo kwenye mgogoro wa kindoa. Kubwa ni kwamba ananifanyia vituko ili...
5 Reactions
134 Replies
16K Views
Kuna usemi wa Kiafrika usemao kuwa: Inachukua kijiji kizima kumlea mtoto. Usemi huu unamaanisha kuwa malezi ya watoto yanahamasishwa na familia zao na watu wengine wanaowazunguka. Familia na jamii...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Last week nilipost tittle iliyo kuwa ina sema. Mke wangu ananifanyia vituko ili tuachane Hii ilitokana na kumfuma na sms za kimapenzi na wanaume wa 2 tofauti. Ukweli nilishindwa pata muafaka...
8 Reactions
160 Replies
17K Views
Nilimuendeleza mke wangu Baada Ya family yake kushindwa kumsomesha kabla sijamuoa. Baada ya ndoa nikaona sio vizuri awe mama wa nyumbani hatakama uwezo wa kumhudumia ninao. Baada ya kumsomesha...
39 Reactions
83 Replies
9K Views
you were talented!,naangalia video zako japokuwa zinanibariki ila zinanikumbusha pia haupo nasi...pengo lako halitazibika kamwe.....pumzika kwa amani......
4 Reactions
29 Replies
20K Views
Mi nataka kufahamu sababu zinazowafanya baadhi ya watu kutofaposti hadharani wapenzi wao najua kila mtu ana mtazamo wake mi napenda kujua wenzangu kwanini hamuwaposti wapenzi wenu mtandaoni! Sent...
0 Reactions
72 Replies
7K Views
Kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wa wazazi/walezi kuna kipindi katika maisha yao hulazimika kutafuta wasaidizi wa kuwalelea watoto wao. Wazazi/walezi wengi katika juhudi za kuyafikia...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…