Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Je maoni yako ni yepi? Je ni sawa alichokifanya mke au ni haki alichokifanya Mme kwa mkewe Ebu comment bila Mihemko
0 Reactions
46 Replies
7K Views
Mjeda kaopoa shoga mrembo wa makeup akidhani ni binti mrembo... Kufika barracks ni jishoga choka mbaya.... Akapoza maumivu kwa kipigo [emoji117][emoji117][emoji117]See below a gay man posing as a...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Moja ya vitu vinavyosumbua akili ni kumiss kitu au mtu! Ni mara chache au watu wachache wanaoweza kuweka hisia zao wazi. Kwa mfano unaweza kuwa single na una miss hata kupata mtu wa kukukiss...
3 Reactions
44 Replies
5K Views
Jamani hako ni kautafiti kadogo tu nilikofanya. Naomba msinishambulie sana wazee wa research. Katika tembea tembea yangu, nimekutana na wanawake wa kila aina. Lakini mara nyingi kila ninayemwona...
2 Reactions
396 Replies
74K Views
Msichana unapomweleza ukweli humpati, ukimdanganya hata katika mazingira anayohisi anadanganywa utampata! Je, wanawake ni wa kudanganywa tuu?
0 Reactions
317 Replies
26K Views
5 SIGNS YOU ARE READY FOR MARRIAGE. Many ask, Sir at what age is one ready to get married, but it really isn't about AGE but being READY. Here are 5 signs that tell that you are ready to get...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna rafiki yangu mmoja anafanya mambo ya ajabu sana mpaka namshangaa sana. Kweli njaa ni mwanaharamu sana. Memba huyu anawatumia sms huko pm rafiki zake akiwachangisha michango ya harusi yangu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hatimaye memba mwenzenu nimeamua kuoa rasmi sasa. Sitaki mzaha tena. Napenda kuwakaribisha memba wenzangu wa MMU ndani ya SHAMOOL HOTEL kuja kunisapoti memba mwenzenu nimeamua kuzama mzima mzima...
2 Reactions
71 Replies
5K Views
Kwa akili zangu, nimechunguza sana nikaona matatizo mengi ya mauaji na visanga katika dunia hii huletwa na mapenzi. Ukiepuka mke/mume wa mtu na wanafunzi utakuwa salama. Tafuta wasio hao.
3 Reactions
26 Replies
4K Views
Nimehangaika vyakutosha, nmesalitiwa vya kutosha nikaamua niingie katika umalaya sasa nikawa mimi na ma bar maid, bar maid na mm, nikawa mtu wa hit n run lakini kwasasa sion faida yake zaidi umri...
2 Reactions
127 Replies
10K Views
Ipo hivi. Kila mtu ana preferences na priorities zake in life. Kuna vitu ambavyo mtu fulani huona ni vya muhimu lakini visiwe vya muhimu kwa wengine. Since tupo MMU, Kwangu mimi an ideal woman...
10 Reactions
61 Replies
4K Views
Once I was seven years old, my mama told me "Go make yourself some friends or you'll be lonely" Once I was seven years old It was a big big world, but we thought we were bigger Pushing each other...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mu wazima humu naomba niende moja kwa moja kwenye mada mi niliwahi kuwa ba mpenzi ambaye tulidumu kwa miaka mitatu lakini muda wote huo tuliokuwa wapenzi alikua mwanaume asiye na kazi wala...
2 Reactions
10 Replies
4K Views
Wakuu wasalaam. Nimeona kuna kitabia flani hv usipokuwa makini huwezi acha kuanzia utotoni mpk uzeeni. Nimemshuhudia mzee mmoja hv asiyepungua 55 hv anapiga chabo kweny dirisha la gesti moja hv...
4 Reactions
41 Replies
12K Views
Habari zenu Leo hii ukimuuliza mtu kwanini wanaume wanapiga punyeto atakwambia kwamba ni kwasababu hawajui kutongoza (madomo zege),wanajiepusha na magonjwa ya zinaa au hawana pesa za kuwawezesha...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Habari zenu wakuu na poleni na majukumu ya hapa na pale. Nianze kwa kusema ukitamani kuwa na maisha mazuri basi tamani kuteseka kwaajiri ya maisha mema huko mbeleni. Kuna vijana waliosoma ila...
13 Reactions
15 Replies
4K Views
Kama cheti mali kitandike kitandani kwako ukilalie. Au jaribu kujifunika nacho kikutie joto. Nachekajeeee? Halooooooooo? Na wanangu wana haki zote kwa baba yao. Nakukumbusha tu.
11 Reactions
220 Replies
22K Views
Habari wanajamvi, Wanaume tuliowengi huwa tunavutiwa na sehemu mbalimbali za miili ya dada zetu. Kuna wanaume wanaovutiwa na maumbile kama vile makalio, kifuani, nk. Kuna baadhi tunavutiwa na...
2 Reactions
166 Replies
22K Views
Habari wanaJf. Nikiwa nabadilishana mawazo na mmoja ya wafanyakazi wenzangu, ikaibuka story ya kukaziwa na demu jamaa si akanipa story hizi nikaona sio dhambi nishare nanyi. Jamaa alikutana na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Huyu dada ni mke wa mtu, tena mke wa mfanyakazi mwenzangu. Mwezi sasa ananikomalia anataka nimcheck najaribu sana kumwepuka sababu mumewe ni mtu mmoja hana maneno na watu.mpole sana na...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…