Natamani kuoa lakini...

Grau

Grau

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2017
Messages
2,421
Points
2,000
Grau

Grau

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2017
2,421 2,000
Nimehangaika vyakutosha, nmesalitiwa vya kutosha nikaamua niingie katika umalaya sasa nikawa mimi na ma bar maid, bar maid na mm, nikawa mtu wa hit n run lakini kwasasa sion faida yake zaidi umri unasonga na ninahitaji kuwa na mke na familia kwa ujumla.

Shida inakuja hivi vibinti vya sasa vyenye umri wa miaka 18 mpaka 25 hivi ambavyo vinakula ujana bado wewe uviingizie suala la kuoa vinaweza kukuelewa lakini je' vitatulia na kufanya maisha?

Kwan sasa hivi unaoa mtu kwaajili ya maisha japo kuhitaji papuchi ni mhim pia Vijana wa sasa tunakazi na tutapata kazi bora wazee wa zamani.

Hapa nnaona bora kuishi mwenyewe , maana hv vitoto havitambui maisha hv ninaona kwa watu pia navutia picha.
 
HB wa kigogo

HB wa kigogo

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2017
Messages
2,311
Points
2,000
HB wa kigogo

HB wa kigogo

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2017
2,311 2,000
Kama hao wasumbufu tafuta kuanzia 26+. Kila la kheri kiongozi
 
Ethical Ninja CEH

Ethical Ninja CEH

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Messages
3,887
Points
2,000
Ethical Ninja CEH

Ethical Ninja CEH

JF-Expert Member
Joined May 16, 2011
3,887 2,000
Acha umalaya, kuna magonjwa kama Ukimwi na magonjwa ya ini.

Pia acha kulala na wanawake ovyo ovyo...

Kama unaogopa hao wadodogo wadogo.. tafuta mwanamke ambae amezaa watoto kuanzia wawili, hao huwa wengi wanakuwa wamekomaa na wanaamua kuishi maisha na age isishuke chini ya 35...

Uo mzeee ingia kwa ndoaa 😁😁😁😁
 
Ethical Ninja CEH

Ethical Ninja CEH

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Messages
3,887
Points
2,000
Ethical Ninja CEH

Ethical Ninja CEH

JF-Expert Member
Joined May 16, 2011
3,887 2,000
Nimehangaika vyakutosha, nmesalitiwa vya kutosha nikaamua niingie katika umalaya sasa nikawa mimi na ma bar maid, bar maid na mm, nikawa mtu wa hit n run lakini kwasasa sion faida yake zaidi umri unasonga na ninahitaji kuwa na mke na familia kwa ujumla.
Shida inakuja hivi vibinti vya sasa vyenye umri wa miaka 18 mpaka 25 hivi ambavyo vinakula ujana bado wewe uviingizie suala la kuoa vinaweza kukuelewa lakini je' vitatulia na kufanya maisha? Kwan saiv unaoa mtu kwaajili ya maisha japo kuhitaji papuchi ni mhim pia Vijana wa sasa tunakazi na tutapata kazi bora wazee wa zamani.
Hapa nnaona bora kuishi mwenyewe , maana hv vitoto havitambui maisha hv ninaona kwa watu pia navutia picha.
Pia fahamu hakuna ubora wa kuishi mwenyewe, mbili ni bora kuliko moja. Tafuta Single mother uta enjoy sana maisha na mapenzi ... utahisi dunia ni yako mzee babaaa ... naridua acha kuona maisha ya upe yako ni bora ipo siku msongo wa mawazo utakuzidi uje ujitundike bure... chukua single motther uta enjoy maisha ya dunia hiii...
 
Ethical Ninja CEH

Ethical Ninja CEH

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Messages
3,887
Points
2,000
Ethical Ninja CEH

Ethical Ninja CEH

JF-Expert Member
Joined May 16, 2011
3,887 2,000
mkuu mimi ninamiaka 27 nitafute mwanamke wa miaka 36+?
Kama una 27... kutokana na geographical location ya Tanzania. Vumilia kama miaka 6 ndio uoe basi, maana kipindi una 33 + tafuta mtoto alie komaa kidogo au subiri ufikishe 35 + alafu uchukue alie komaa... mwanaume wa miaka 27 anakuwa hajakomaa sana, tofauti na mwanamke wa miaka 27... watoto wa kike wanawahi sana kukomaa kimaisha tofauti na Me πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„
 
Ethical Ninja CEH

Ethical Ninja CEH

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Messages
3,887
Points
2,000
Ethical Ninja CEH

Ethical Ninja CEH

JF-Expert Member
Joined May 16, 2011
3,887 2,000
Sina point nyingi ila umri hauhusiani na kutulia au kutotulia kwa mtu
Umri sio kigezo kikubwa, ila inaweza ikachangia pia kwa asilimia kadhaa . Hii ina turn on bongo zao, anapo jiona kagonga 35, anaona kabisa uzee huo una mjia, wengi wao huwa wanaamua kutulia, ila sio wote. Pia 35+ kwa Single mother kigodo ndio unakuta ana idadi ya watoto na anajua malezi, ila sio kwa wote.. ma single mother wapo vizuri sana hasa walio pevuka
 
ze-dudu

ze-dudu

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2014
Messages
10,972
Points
2,000
ze-dudu

ze-dudu

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2014
10,972 2,000
Ivi kuna malaya wa kukuzidi wew humu mdau....
Mimi mwenyew nimejikuta bado nipo vidudu nawew upo chuo kikuu
Acha umalaya, kuna magonjwa kama Ukimwi na magonjwa ya ini.

Pia acha kulala na wanawake ovyo ovyo...

Kama unaogopa hao wadodogo wadogo.. tafuta mwanamke ambae amezaa watoto kuanzia wawili, hao huwa wengi wanakuwa wamekomaa na wanaamua kuishi maisha na age isishuke chini ya 35...

Uo mzeee ingia kwa ndoaa
 
Grau

Grau

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2017
Messages
2,421
Points
2,000
Grau

Grau

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2017
2,421 2,000
Kama una 27... kutokana na geographical location ya Tanzania. Vumilia kama miaka 6 ndio uoe basi, maana kipindi una 33 + tafuta mtoto alie komaa kidogo au subiri ufikishe 35 + alafu uchukue alie komaa... mwanaume wa miaka 27 anakuwa hajakomaa sana, tofauti na mwanamke wa miaka 27... watoto wa kike wanawahi sana kukomaa kimaisha tofauti na Me
Asante mkuu ngoja niendelee kudanga
 
Grau

Grau

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2017
Messages
2,421
Points
2,000
Grau

Grau

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2017
2,421 2,000
Ivi kuna malaya wa kukuzidi wew humu mdau....
Mimi mwenyew nimejikuta bado nipo vidudu nawew upo chuo kikuu
Sio kiviile mkuu but hat kama upo vidudu mtu yeyote anaye kula wanawake tofaut tofaut kuanzia wawili ni malaya tu.
 
Ethical Ninja CEH

Ethical Ninja CEH

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Messages
3,887
Points
2,000
Ethical Ninja CEH

Ethical Ninja CEH

JF-Expert Member
Joined May 16, 2011
3,887 2,000
Ivi kuna malaya wa kukuzidi wew humu mdau....
Mimi mwenyew nimejikuta bado nipo vidudu nawew upo chuo kikuu
Ukiona katoto kanavuta bange unaweza kukakataza au kukaambia kasubiri kwanza kakue ndio kaanze kuvuta, hata kama wewe mtu mzima una vuta bangi kutwa mala tatuu kwa wakati huo... au hata kama mzee ana chapa nje, akikaa na watoto wake utakuta ana waonya juu ya upoga mizigo mizigo nje 😁😁😁
 
Ethical Ninja CEH

Ethical Ninja CEH

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Messages
3,887
Points
2,000
Ethical Ninja CEH

Ethical Ninja CEH

JF-Expert Member
Joined May 16, 2011
3,887 2,000
Hawa pia wanachangamoto zao
Hawa changamoto zao ndogo sanaaa... ambazo zina kabilika, uwe tu uanjua kutiaa kisawa sawa, vijana wehu wehu wasije wakaja kukusaidi... unatamiwa ukimpiga hakikisha una mchoshaa haswaa, ukipiga mala moja asubuhi unahikikisha ume mpimia cha wiki hata kama jioni usipo ruka nae, bado kiu ya kunjinjwa inakuwa haipo 😁😁😁
 

Forum statistics

Threads 1,335,569
Members 512,388
Posts 32,509,671
Top