Wanawake wanapenda kudanganywa au kuambiwa ukweli?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,864
155,806
Msichana unapomweleza ukweli humpati, ukimdanganya hata katika mazingira anayohisi anadanganywa utampata!

Je, wanawake ni wa kudanganywa tuu?
 
Inategemea sana
halafu kuna tofauti kati ya mwanamke na msichana....
All in all uwongo usizidi....
Fanya mix,uwongo kidogo,na ukweli kidogo...
 
ukimwambia tu ukweli mwanamke UMESHAMKOSA!...............
 
Hii thread ilipendeza zaidi iwe kule kwenye jukwaa letu la MMU,Huku zinaweza ingia siasa.
Lakini mimi nina uhakika wanaopenda kudanganywa ni wanaume,yani hii nimeshuhudia mwenyewe.Ukimwambia ukweli anakuona muongo.
 
fuatilia mazungumzo haya:
DEMU:hivi geoff unanipenda au hunipendi???
GEOFF:(anakaa kimya kidogo kwasababu anaogopa kumdanganya-hana hisia nae)
DEMU:jamani geoff mbona hujibu?niambie unanipenda hunipendi?....sio vizuri jamani!
GEOFF:(kimya kingi na aibu)...baadae sana anaongea''....HIVI WEWE UNAJUA MAPENZI KWELI?MBONA UNALAZIMISHA.....
DEMU:(alimkatisha geoff kuongea akasema)!TAFADHALI DARLING,NAOMBA USEME UNANIPENDA HATA KAMA HUNIPENDI!sema tu unanipenda jamani...
GEOFF:haya basi nakupenda.....

kazi ipo!:D
 
Liar! Mi nilimwambia ZD ukweli na sijamkosa!

mkuu ULIDANGANYIKA, si umemsikia mwenyewe hapo juu?, amekudanganya unaweza kujikuta mpwa UNASHIKA MAPEMBE tu MAZIWA WANAKAMUA WAPWA WENGINE, shtuka mpwa!!.
 
Hahahaha! Hapo mpwa naweza kuapa TASKA ilikuwa haijafika sehemu yake!
 
Ukweli utabakia kuwa ukweli wanawanake kwa wasichana wanapenda kudanganywa hili lipo wazi
 
mkuu ULIDANGANYIKA, si umemsikia mwenyewe hapo juu?, amekudanganya unaweza kujikuta mpwa UNASHIKA MAPEMBE tu MAZIWA WANAKAMUA WAPWA WENGINE, shtuka mpwa!!.

Unaweza ukawa unafanya masihara lakini mwenzio roho inaniuma sana! Ngoja atanieleza kinagaubaga. Lakini angalia kwa makini, kashanigongea senksi. Rudi kathibitishe uone.
 
mkuu ULIDANGANYIKA, si umemsikia mwenyewe hapo juu?, amekudanganya unaweza kujikuta mpwa UNASHIKA MAPEMBE tu MAZIWA WANAKAMUA WAPWA WENGINE, shtuka mpwa!!.
Xpin hadanganyiki! na niliyesema hapo juu sio yeye kwani nami nilimueleza ukweli yule aliyenidanganya ni aliyenikosa na ushindi akapata mchumba.Yeye huwa anasema ukweli eg.
1.yeye na kaunta ni pete na kidole,yani namba 1 mimi namba 2 ni serengeti.
2. Kazi yake ya ni ya kubeba mizigo-Na ni kweli kwani angesema anafanya kazi TRA basi ingebidi anipe ATM nidroo laki 6 kwa mwezi.

NEED I SAY MORE?
 
fuatilia mazungumzo haya:
DEMU:hivi geoff unanipenda au hunipendi???
GEOFF:(anakaa kimya kidogo kwasababu anaogopa kumdanganya-hana hisia nae)
DEMU:jamani geoff mbona hujibu?niambie unanipenda hunipendi?....sio vizuri jamani!
GEOFF:(kimya kingi na aibu)...baadae sana anaongea''....HIVI WEWE UNAJUA MAPENZI KWELI?MBONA UNALAZIMISHA.....
DEMU:(alimkatisha geoff kuongea akasema)!TAFADHALI DARLING,NAOMBA USEME UNANIPENDA HATA KAMA HUNIPENDI!sema tu unanipenda jamani...
GEOFF:haya basi nakupenda.....

kazi ipo!:D

Huyo naye alikua idioto tu...sasa angefaidika nini kuambiwa anapendwa huku akifahamu hapendwi!

hapo wala Geof hukumdanganya, alijidanganya mwenyewe
 
Xpin hadanganyiki! na niliyesema hapo juu sio yeye kwani nami nilimueleza ukweli yule aliyenidanganya ni aliyenikosa na ushindi akapata mchumba.Yeye huwa anasema ukweli eg.
1.yeye na kaunta ni pete na kidole,yani namba 1 mimi namba 2 ni serengeti.
2. Kazi yake ya ni ya kubeba mizigo-Na ni kweli kwani angesema anafanya kazi TRA basi ingebidi anipe ATM nidroo laki 6 kwa mwezi.

NEED I SAY MORE?

You Can Say It Again Darling. Nimekugongea senksi na hapa nakugea nyingine tatu THANKS THENKSI SENKSI!

Now where is George Porgie for God's sake? He needs to read this valued statements from my girl. And grasp them once and for all.
 
Ukweli utabakia kuwa ukweli wanawanake kwa wasichana wanapenda kudanganywa hili lipo wazi

usigeneralize tafadhali...

wanawake wengi unaweza kumdanganya na siku akigundua uongo wako ndo mwisho wa mapenzi yenu.

kwa taarifa yako unayemdanganya na yeye huwa anakudanganya, (mnadanganyana) hapo kila mtu kuna analowinda kwa mwenzie ambalo si la kudumu.
 
Huyo naye alikua idioto tu...sasa angefaidika nini kuambiwa anapendwa huku akifahamu hapendwi!

hapo wala Geof hukumdanganya, alijidanganya mwenyewe
NITAKU-PM SHORTLY BHT!you sound lyk a lady....!:D
 
you can say it again darling. Nimekugongea senksi na hapa nakugea nyingine tatu thanks thenksi senksi!

now where is george porgie for god's sake? He needs to read this valued statements from my girl. And grasp them once and for all.

okeey mpwa, sasa nimethibitisha!!.
Nimewagongea senks wote wawili, thanks, thanks.
Kathibitisheni
 
Back
Top Bottom