Wanawake wazuri wazuri wametulia na waume zao.Yamebaki manungayembe yanahangika tu

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,496
23,669
Huyu dada ni mke wa mtu, tena mke wa mfanyakazi mwenzangu. Mwezi sasa ananikomalia anataka nimcheck najaribu sana kumwepuka sababu mumewe ni mtu mmoja hana maneno na watu.mpole sana na tunaheshimiana.

Angalau mumewe angekuwa mtu mbaya au mpuuzi hapo sawa.jamaa mstaarabu sana ni aibu mimi kwenda mchakata mkewe. Ntamwangaliaje usoni jamaa huyu?

Mke wake ni nunga yembe kweli kweli.yaani ashajitoa mhanga.anataka nimkamue mtindi.toka amepata namba yangu baada ya kuwa tumeonana kwenye harusi ya mfanyakazi mwenzetu.akaonekana kunikubali.

Akaenda search namba yangu kwenye simu ya mumewe akaanza mawasiliano nami.sasa imefikia hatua anasema shem hata tukido mara moja tu ntashukuru.tutafute siku tutombaneh weeeeeeeh then nirudi home nikalale.

Nimemkatalia kabisa ila anasema hawezi acha ni aibu kwake yeye atake kutombwah na mimi then nimkatae wakati ni mwanamke mzuri kabisa.so kanambia hatoacha mpaka anipate.

Nawaza wanawake wa siku hizi nini shida?wanahalalisha kabisa kuchepuka kama vile ni haki yao ya kimsingi.
 
Mkuu hiyo heading ya uzi wako ulikua ni mwimbo fulani hivi, sijui wakati huo BASATA ilikua wapi haukufungiwa au sina notes sahihi?
 
Ungeandika madunga nyembe hayatulii na ndoa zao sio utukane watu kisa umeoa malaya na mashemeji zako ni madunga nyembe .

Kuolewa sio lazima na kunawatu hawajaolewa ila wametulia .
Sana natena sana nawanajiheshimu wewe unaonyesha hujieshimu kisa unapewa K za bure sasa sio wote uwaweke kwenye circle yako ya upuuzi.
So heshimu uheshimiwe mzee kijana .
😎😎😎😎
 
Mkuu ni kheri upige punyeto kuliko kutembea na huyo mwanamke
 
Ukumbuke kutembea na mke wa mtu utakuwa umeingilia agano , utaona raha ila litakugharimu sana ...kaa utafakari muosha huoshwa

Sent using i phone x
 
Usichokijua ni kwamba dunia haiko fair! Wewe kuacha kumtom.b.a kwa kuwa ni mke wa jamaa haitawafanya wengine waache kumto.m.ba wa kwako kwa kuwa eti wewe ulimuacha wa meenzio. Na wala haitawafanya wengine waache kumto.m.b.a huyo uliyekataa kumtom.b.a. Unatakiwa ujue unaye lose ni wewe wala sio yeye. Be a man Chizi Maarifa,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usichokijua ni kwamba dunia haiko fair! Wewe kuacha kumtom.b.a kwa kuwa ni mke wa jamaa haitawafanya wengine waache kumto.m.ba wa kwako kwa kuwa eti wewe ulimuacha wa meenzio. Na wala haitawafanya wengine waache kumto.m.b.a huyo uliyekataa kumtom.b.a. Unatakiwa ujue unaye lose ni wewe wala sio yeye. Be a man

Sent using Jamii Forums mobile app

Wee kwwli baharia... Safi sana yaani warembo wamewekwa duniani kama buruda i ya mwanaume alafu jamaa anajivunga tena
 
Usichokijua ni kwamba dunia haiko fair! Wewe kuacha kumtom.b.a kwa kuwa ni mke wa jamaa haitawafanya wengine waache kumto.m.ba wa kwako kwa kuwa eti wewe ulimuacha wa meenzio. Na wala haitawafanya wengine waache kumto.m.b.a huyo uliyekataa kumtom.b.a. Unatakiwa ujue unaye lose ni wewe wala sio yeye. Be a man

Sent using Jamii Forums mobile app
Unafanya kitu kwa sababu na wewe ni lazma ufanyiwe na sio personally bali mkeo. Mtu mwenye akili zake na makuzi yake, Hayupo attached na thamani wala akili yako. Kwa nini ujipe risks ili kubalance upuuzi wa mtu mzima mwingine. Poor mentality hii
 
Mkuu hiyo heading ya uzi wako ulikua ni mwimbo fulani hivi, sijui wakati huo BASATA ilikua wapi haukufungiwa au sina notes sahihi?
Ngoni Tribe hao,wimbo wao unaitwa Manungaembe. Huu wimbo ulipigwa marufuku lakini cha kushangaza Lady Jaydee baadae akatoa wake kuwananga Wanaume,Wanaume kama Mabinti lakini haukufungiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usichokijua ni kwamba dunia haiko fair! Wewe kuacha kumtom.b.a kwa kuwa ni mke wa jamaa haitawafanya wengine waache kumto.m.ba wa kwako kwa kuwa eti wewe ulimuacha wa meenzio. Na wala haitawafanya wengine waache kumto.m.b.a huyo uliyekataa kumtom.b.a. Unatakiwa ujue unaye lose ni wewe wala sio yeye. Be a man

Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseeee!

Dah aiseee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom