Nadhani atakuwa kala kiporo cha mtoto wa shangazi mdogo tumbo moja na mama mdogo wa baba mkubwa aliyesimamia ubatizo wa shemeji yake kwa mtoto wa baba mdogoMke kafanya nini?
Na mume wake kafanya nini?Nadhani atakuwa kala kiporo cha mtoto wa shangazi mdogo tumbo moja na mama mdogo wa baba mkubwa aliyesimamia ubatizo wa shemeji yake kwa mtoto wa baba mdogo
Hakutumia condomNa mume wake kafanya nini?
Nadhani atakuwa kala kiporo cha mtoto wa shangazi mdogo tumbo moja na mama mdogo wa baba mkubwa aliyesimamia ubatizo wa shemeji yake kwa mtoto wa baba mdogo
Kwahiyo Mabeste amekutwa na mimba ya mkewe hiyo jana baada ya vipimo?Hakutumia condom
Kabla sijajibu... mabeste ni he/she?Kwahiyo Mabeste amekutwa na mimba ya mkewe hiyo jana baada ya vipimo?
Sijui kwa kweli hata mimi sijui kinachosemwa hapa.Kabla sijajibu... mabeste ni he/she?
Wewe ni yupi kati ya hao wawili walioachana?Je maoni yako ni yepi? Je ni sawa alichokifanya mke au ni haki alichokifanya Mme kwa mkewe
Ebu comment bila Mihemko
Yaani kufa na tai shingoni ndo ujasiri? Unatunukiwa pepo siku ukienda kwa sir God?Dah...wanaume tumepigwa 3-0;sijaona kosa la dada yetu aisee...japo kama mke alitakiwa afe na tai shingoni....
Pia kitendo cha yeye kutembea na jamaa aliyekuwa cycle moja na mmewe...kaonekana boya kinoma.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwahiyo Mabeste amekutwa na mimba ya mkewe hiyo jana baada ya vipimo?