Wasichana mnavutiwa na nini hasa kwa wanaume?

amshapopo

JF-Expert Member
Sep 7, 2014
727
1,251
Habari wanajamvi,

Wanaume tuliowengi huwa tunavutiwa na sehemu mbalimbali za miili ya dada zetu. Kuna wanaume wanaovutiwa na maumbile kama vile makalio, kifuani, nk. Kuna baadhi tunavutiwa na rangi yaani weupe or weusi.

Kuna baadhi wanavutiwa na kimo yaani urefu au ufupi. Kuna wengine wanavutiwa staili ya mavazi. Pia kuna wengine wanavutiwa na tabia ya msichana bila kujali vigezo vingine yaani jinsi msichana anavyoumba maneno yake.

Je wewe kama msichana unavutiwa na nini kwa mwanaume unayehitaji kuwa mmeo?
 
daaaah kuna siku moja nilitoka tulikua tume korofishana kidogo na bibi yenu ni katoka kwenda kuondoa stress basi
nakumbuka nilikutana na binti mmoja hivi sikumbuki vizuri jina lake tuliongea mengi sana basi si nikamdokezea maana zamani haikua raisi utongoze siku hiyo hiyo alafu mfunge safari siku hiyo hiyo
"eti oooh Mimi nakupenda unavyo ongea baby napenda nyayo zako
kufikia hapo hata mlima sikupanda
 
Smile,macho urefu..sema it doesn't rly matter akiongea tu pumba bas Ni huge turnoff.Ila Hamna mwanaume attractive Kama anayechekesha au anayesaidia watu awe anamsaidia mwanamke au mwanaume mwenzake..Gentleman huh...wanaume wanaopenda kulalamika miswapendi.Na wanaume wa arsenal nawapendawanaume wavumilivu Sana.
 
Na sisi wa Liverpool hutupend
 
Back
Top Bottom