Ni masiku kadhaa tangu nijiopolee huyu mtoto wa kisukuma,
Wajihi wake ni mrefu kiasi, black aswaa, hapo kifuani kushuka chini kumejitenga kiasi kwamba kabla ata ya kummenya kila nilipokuwa...
Baada ya kuharibu wik iliyopita kwa mara ya kwanza after 6 yrs ya mahusiano mbalimbali, nmekosea timing bint kaona msg za wenzie wawil, ingawa hao nilishaachana nao mda mrefu sana ni vile tuu mim...
Nina swali la kizushi tuu kidogo,Moja ya matukio ambayo wanawake hukumbuka sana kwenye mapenzi ni kitendo cha kutoa bikra na inasemekana kuwa mwanaume aliyemtoa bikra hukumbukwa mno
Na pia...
1. My name: Amiry Muzamelly.
2. Age:23.
3. Language: English,Arabic,Swahili.
4. Religion: Islam.
5. My color:Grainy black with gravity.
6. Work: Religious seeker.
7. Height:Tall Normal.
8. Child...
Nimezunguka sana Nchi nyingi Za Africa , nimegundua kwamba, wanawake wa Malawi na Zambia hawana mvuto kabisa. Hawako romantic kabisa, sijui kwanini. Na sijui ni Mimi tu huwa naionaga hii hali au...
Tokea nizaliwe sijawahi kupewa zawadi kama hii. Huyu kaka sijui anafikiria mimi mzungu mwezake au sijui anafanya makusudi.
Sasa ndio zawadi gani ati ameniletea miti mitatu halafu ananipa maelezo...
Unaweza ukamsikia mtu akisema:-
"Yule jamaa hakuwaga masikini vile kabisa zile ni laana za mke wake aliyemwacha"
Sasa je, ni kuna ukweli wowote kwamba wanaume wengi wanamaisha magumu ni kwasababu...
#MADHARA_YA_MATUMIZI_YA_MATE_KATIKA_TENDO_LA_NDOA_KWA_MFUMO_WA_UZAZIWA_MWANAMKE
Kabla sijaanza na madhara nianze na kuelezea kazi ya mate kinywani.
Mate ni mchanganyiko wa maji, uteute na...
1. Mpenzi wangu ni mzuri na mwenye nguvu,mashuhuri miongoni mwa wanaume elfu kumi wa hapa jf
2.Kichwa chake kizuri kama dhahabu safi,nywele zake ni za ukoka,nyeusi ti kama kunguru.
3.Macho yake...
Kumekuwa na hii hali dada zetu hawataki kuanzisha mahusiano au kuolewa na wanaume wenye vipato vya chini. Wengi watakwambia wanataka wanaume wa maana wenye nyumba na magari
Muda mrefu nimekuwa...
Je mara yako ya mwisho kutumia Condom wakati wa tendo ilikuwa ni lini?
Binafsi nina miaka 4 sasa sijawahi tumia, kuna muda nacheza Rafu mpaka nahisi nimeshaukwaa
Cc Zero iq
Sent using Jamii...
Jamani Wanaume hii ni aibu ya karne!
Why umemtongoza mwanamke mwenyewe, umemuimbisha nyimbo mwenyewe unakuja kutuonyesha SMS za mpenzi humu eti ana njaa anaomba omba???
Are you serious or...
Nikiwa kama kijana mwenye umri wa miaka 35 mwenye kipato kizuri na kazi nzuri nahitaji mwanamke ambae yuko tayari tupate mtoto awe mweupe na umri mwisho miaka38 na mkazi wa dar pia awe na uwezo wa...
Naomba tukutane tushauriane kuhusu changamoto zetu na namna tunavyokabiliana nazo.
Mimi changamoto kubwa ninayoipata ni ubaguzi kutoka kwa wanawake wenzangu. Ubaguzi huu unajitokeza zaidi kupitia...
Mim ni kijana naishi hapa dar, nina mke na mtoto 1, natafuta dem wa kuwa nae ktk mahusiano awe dar na awe mzuri anae jipenda. tutakuwa ktk mahusiano na kumegana ni kawaida ila demu asiwe tegemezi...
Hili ni tukio ambalo kamwe halitafutika katika akili ya ubongo wangu. Nashukuru mpaka sasa nipo singo licha ya changamoto mbalimbali nazo kutana nazo kila siku. Issue yenyewe ilikuwa hivi...
Halo JF.
Nimekutana na wakaka wengi maeneo tofauti wakidai kila akimpata girlfriend, basi tatizo la Mama mzazi wa binti kuugua ndilo linalowamalizia hela.
Wanadai wananaombwa kuanzia shilling...
Habari wakuu.
Mi bwana naomba niulize tuu hili swala la mtu from nowhere au hata kama ni mwanafamilia kung'ang'ania kutoa bikra ya mkeo ana maana gani? Whats so special kwamba mimi mwanaume...
Jamani wanajamvi hebu tukusanyike leo tiudiscuss hii mada kwa pamoja, ni kwa muda mrefu sana tumekua na mazoea kwamba ni wanawake tu ndo wanajiuza, mi huwa nashindwa kuelewa kitu kimoja, kwani hii...
Wananzego habarini.
Baada ya kumaliza chuo nilikutana na msiba wa Mama yangu kipenzi, niliumia but Kazi ya Mola. Mwaka mmoja baada ya wanafamilia kuwa tumekaa kwa umoja na kuwa tumeanzisha...