Wanawake msipagawe na magari

Wanawake msipagawe na magari

Gulio Blog

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
3,056
Reaction score
4,124
Kumekuwa na hii hali dada zetu hawataki kuanzisha mahusiano au kuolewa na wanaume wenye vipato vya chini. Wengi watakwambia wanataka wanaume wa maana wenye nyumba na magari

Muda mrefu nimekuwa najiuliza hivi hawaogopi au wamekubali tamaa zao ziwapelekee kujutia maisha yao yote?
 
Unauliza hawaogopi? Hawaogopi nini? Kwani wenye magari na majumba ni mashetani hadi wajutie maisha yao yote?
 
Unauliza hawaogopi? Hawaogopi nini? Kwani wenye magari na majumba ni mashetani hadi wajutie maisha yao yote?
Huu uzi wengi hawajafungua akili na wachangiaji wengi hawaelewi naongelea ila ni muhimu sana kwa dada zangu kcheki afya kwanza kabla ya mambo mengi mana wengi wenye magari
 
Mkuu swala la wao kukimbila wenye magar na majumba au maisha mazuri ni kwa sababu wanatoka kweny family duni na maskini unafikir kama mwanamke kwao mambo swafi atahangaika na mali!? [emoji848]

Maana anajua hata akiolewq na mtu asie na mali baba yao atawapa mtaji au hata mali zenyewe ila sasa akitoka kweny family maskini lazima atafute mwenye mali ili kubadilisha hali sasa yy ni maskini harafu aolewe tena na maskini sasa hapo huoni ni maskini +maskini =fukara kitu ambacho sio poa hata mm ningekua mwanamke nisingekubali kuolewa na mtu maskini mwenzangu tena.. Never

Kwaiyo usiwalaumu wao sana we tafuta pesa mkuu acha lawama
Kumekuwa na hii hali dada zetu hawataki kuanzisha mahusiano au kuolewa na wanaume wenye vipato vya chini. Wengi watakwambia wanataka wanaume wa maana wenye nyumba na magari

Muda mrefu nimekuwa najiuliza hivi hawaogopi au wamekubali tamaa zao ziwapelekee kujutia maisha yao yote?
 
Huu uzi wengi hawajafungua akili na wachangiaji wengi hawaelewi naongelea ila ni muhimu sana kwa dada zangu kcheki afya kwanza kabla ya mambo mengi mana wengi wenye magari ni

Alisikika jamaa mmoja asiye na gari

Mkuu,tafuta gari
 
Wanaume wengi masikini ndio hujiaminisha kua wana mapenzi ya dhati sana...

Sio kweli....

Ni kweli Ukitaka kuwala MADEMU mpaka uwakimbie uwe na Gari, utawala kimasiala km wee ni mpenda chini .

neno 'nakupenda ' halileti mboga na msosi na mahitaji nahuduma ...Tutafute Pesa.
 
wenye ndiga wanapiga sana nyapu...ukiwa hauna ndinga unatumia nguvu nyingi mnoooooo
 
Tafuta gari boss utawala mpaka uwakinai, aisee narudia tena tafuta gari utafurahi mwenyewe.
 
Back
Top Bottom