Ati ameniletea zawadi ya miti

my name is my name

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
2,017
2,384
Tokea nizaliwe sijawahi kupewa zawadi kama hii. Huyu kaka sijui anafikiria mimi mzungu mwezake au sijui anafanya makusudi.

Sasa ndio zawadi gani ati ameniletea miti mitatu halafu ananipa maelezo kabsa "nimeitengeneza vzuri hutakiwi kuweka maji kla siku utakuwa unaweka maji kwa wiki mara 1 kwasababu ya weather" 😂😂 valentine yte hii zawadi ya miti, kwan mimi mama mazingira.

Mwezi tu nadhani yte itakuwa imekufa maana time ya kufatilia ati leo sku ya ngapi nitie maji sina 😏 mue mnangalia zawadi ya kuwapa rafiki zenu km wanaendana nazo sio tu unanunua km vle umejinunulia mwenyewe.
 
Tokea nizaliwe sijawahi kupewa zawadi kama hii. Huyu kaka sijui anafikiria mimi mzungu mwezake au sijui anafanya makusudi. Sasa ndio zawadi gani ati ameniletea miti mitatu halafu ananipa maelezo kabsa "nimeitengeneza vzuri hutakiwi kuweka maji kla siku utakuwa unaweka maji kwa wiki mara 1 kwasababu ya weather" 😂😂 valentine yte hii zawadi ya miti, kwan mimi mama mazingira. Mwezi tu nadhani yte itakuwa imekufa maana time ya kufatilia ati leo sku ya ngapi nitie maji sina 😏 mue mnangalia zawadi ya kuwapa rafiki zenu km wanaendana nazo sio tu unanunua km vle umejinunulia mwenyewe.
Hongera kwa kuna na nyumba/kiwanja.
Labla ni miti ya hela 😂😂😂
 
Wewe si ndo ulikuja hapa na kusema kuwa kuwa na mahisiano na mzungu ni raha.! Haya lea hiyo miti hadi ikue, ukifa hata mmoja anakuacha
 
Tokea nizaliwe sijawahi kupewa zawadi kama hii. Huyu kaka sijui anafikiria mimi mzungu mwezake au sijui anafanya makusudi.

Sasa ndio zawadi gani ati ameniletea miti mitatu halafu ananipa maelezo kabsa "nimeitengeneza vzuri hutakiwi kuweka maji kla siku utakuwa unaweka maji kwa wiki mara 1 kwasababu ya weather" valentine yte hii zawadi ya miti, kwan mimi mama mazingira.

Mwezi tu nadhani yte itakuwa imekufa maana time ya kufatilia ati leo sku ya ngapi nitie maji sina mue mnangalia zawadi ya kuwapa rafiki zenu km wanaendana nazo sio tu unanunua km vle umejinunulia mwenyewe.

bora ata kakuletea miti, wengine hata vijiti hatujaletewa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom