Jamani kuna wanaume ambao wanaoa then wanaenda kuweka kambi kwa wazazi wa mke yaani ukweni, hivi utakuwa na sauti kweli ya kuongea juu ya mkeo? c utakuwa kazi yako we kucheka tu kama ***** na...
ama hakika, hii ni ukweli 98%
ebbbaaanaaae!!!
mwanamke wako akiwa na matumizi haya ya smartphone, au akawa busy na baadhi ya mitandao ifuatayo ujue kua huyo sio wako ila ni cha wote...
habari ziwafikie.
aseee muda huu nmestop kula K , coz "oobm" hahileti msisimko na mwili aseee dah , toto chuchu sa sita lipo hapa nataman mbigu , hipasuke...
dah vijana wenzangu "ACHENI PUNYETO...
Ndugu zangu poleni na majukumu, Kwa kifupi nimekuwa na Mwanaume kama Boyfriend, tumependana sana, Baada ya kuhisi nina mimba yake kaanza chenga, anasema au tuitoe, Sijawahi kutoa Mimba na...
Habari wana JF,
Nikiwa na nia thabiti, ninatangaza kutafuta mume. Mimi ni mwanamke mwenye Umri wa miaka 31.
Upande wangu,
Nina mtoto mmoja>5 yrs
Elimu yangu Diploma
Ni mwajiriwa
Ninahitaji mtu...
Kama kichwa cha mada kinavosema; kwa wale ambao milishawai-cheat on your partners, why did you do it? ilikuwajekuwaje? Na kwa wale ambao walitembea na mtu anae-cheat on their partner...pia...
Habari za mchana vijana wenzangu
Nikiwa kama kijana mwenzenu nimeamua kuongea na vijana wenzangu wa umri wa miaka 14-25 kwenye kundi hili wengi hujiingiza kwa suala la Punyeto au kujichua kwa...
Wanaume wote waliopo kwenye ndoa wanatakiwa wapewe pongezi sana,kwa namna moja ama nyingine wameweza kuwawezesha mabinti (michepuko) kufanikiwa kimaisha.
Popote pale ulipo,jipigie makofi ..... 👏👏👏👏👏
Hivi ukimwita kuku akakataa kuja kisha ukaja ukamwita kwa kutumia mpunga/mahindi akaja.
Huyu kuku atakua kamfuata mmwaga mpunga au mpunga? Au vyote kwa pamoja.
Binafsi sijawahi kuwalewa hawa...
[emoji870] [emoji870] [emoji870] habari ya muda huu wanajanvi!
Kama mada inavyojieleza hapo juu , toa maoni yako ni jambo gani la upendo sana mwenzi wako ashawahi kulifanya na likakufurahisha...
Habari wana jamvi. Twende moja kwa zote kwenye mada.
Kuna binti mmoja karibia na mitaa ya kazini kwangu hapa nami naishi hapa nyumba za taasisi.
Wiki mbili zilizopita katika pita yangu natokea...
Asalaam Aleykum waungwana
Kiukweli nimejiuliza sana
1. Utumie choo kimoja na wakwe
2. Uangalie TV moja na mkwe
3. Ulalie godoro la mkwe atleast kwa wiki 1
4. Ule chakula ukweni kwa raha tu tena...
Wasalaam wote humu. Bila kupoteza muda moja kwa moja kwenye simulizi.
Ilikiwa ni mwishoni mwa miaka ya 1990, sekondari moja hukoo... Nikiwa A level boarding. Sasa akawepo dada mmoja binti mrembo...
Ivi inawezekana kwa mwanamke aliyeachwa na mume wake kwa zaidi ya mwaka mmoja asiwe amefanya ngono na mwingine kwa muda wote huo kweli? Tupeni uzoefu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Najua unampenda sana yule kijana, na yeye pia kwa mwonekano anaonekana anakupenda kweli ila nakuomba umalize kwanza shule ndipo uamue kuolewa.
Maisha kipindi cha uchumba huwa sio maisha halisi...
My age 30,mwajiriwa ,christian, 9 years experience in relationship so if your trouble maker automatically I will notice you .for serious conversation plz if ur interested pm me only one woman...
Salaam waungwana
Nipo na mwanamke kwa miaka 8 tumezaa watoto wawili
Kimaisha tunaishi mbalimbali,huyu mwanamke bado hatujafunga ndoa
Siku za hivi karibuni alipokea taarifa kutoka kwa majirani...
Nimevumilia mda mrefu,mitego haishi alafu ishtoshe ni mke wa mtu naogopa nimejaribu kumuelekeza lakini hataki kunielewa.Dhumuni lake kuu ananitaka kimapenzi na niwe kama mpenzi wake.
Nimejaribu...
Habari wana JF
Suala la kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi ni suala la msingi sana katika maisha ya kila mwanadamu.
Kuna muda kupata mtu wa kuwa nae kwenye mahusiano inakuwa ni changamoto kubwa...
Ukitaka ukosane na rafiki omba akukopeshe fedha.
Siku mbili tatu zilizopita nilipata changamoto kidogo za kiuchumi kutokana na mambo ya ujenzi, wajuzi wanasema zege halilali.
Nikajishauri...