Nilichokiona kwenye simu ya mdogo wangu wa kike! So sad!

Tajirimsomi

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2017
Posts
4,824
Reaction score
5,611
Ni binti mdogo kamaliza kidato cha nne mwaka Jana kimwonekano ni mpole na mtaratibu sana niende kwenye mada;

Leo mida ya jioni simu yake ilikuwa kwenye lugha ambayo haielewi(Africanas) akaomba nimfanyie setting irudi katika kizungu nikafanya hivyo nikamaliza wakati yeye akiwa nje anaosha vyombo, ndipo akili iliponituma kukagua inbox zake za WhatsApp na SMS za kwaida, duh niliyoyaona nimejuta kuyafahamu.

Chatting nyingi ni mapenzi (mabwana wengi) japo sioni kama ni shida sana kilichokuja kuniuma na kunifanya niandike huu uzi nilipokuta message za wanafundishana mbinu mbalimbali za kufanya mapenzi, kuwatega na kuwachuna wanaume, amejiunga magroup ya WhatsApp ya ukahaba na makungwi wanafundishana mambo ya ajabu, ndo nikahamia kwenye gallery uko ndo basi.

Nimeumia sana japo sijafanya reaction yoyote mdogo wangu kaniumiza alivyo mpole msitaarabu sikutegemea ndo wa kufundisha wenzake mara chuma mboga mara nini.

Naombeni ushauri wadau nimchukulie hatua gani huyu dogo maana ni mdogo wangu ananiuma sitaki aharibikiwe.
 
Chunguza aina ya marafiki alionao..
Kama ni wa kike,mitoko kwake ipungue kwa asilimia 90..awe anatoka kwa sababu na mara nyingi awe ameongozana na mtu..
Ila amini kwa marika ya watoto wa form 4...marafiki wanaharibu sana!!!..

Na kama anaenda advance mpokonyeni simu mpka amalize six..muone kama huyo mbayuwayu wake ana ubavu wa kumnunulia simu.
 
Kama uliwahi kula wadogo wa wenzio andika maumivu, kumbuka " Mla kuku wa wenziwe....."[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
 
Kama unamfikania katka kuongea nae basi ongea nae kma inashikana tuma hata jirani wa kike asemenae,itasaidia labda.
 
mwache akae simu ya mtu ww umepekuaa ya nn yaan ww kaka gani unapekua simu ya mdogo wako wa kike??form 4 kwan mdogo mwache ajifunze asije kuwa gogo bure badae aje kusemwa cha msingi nyumbani ana heshima na anafanyaa yanayotakiwaa hapo nyumbani the rest ni ukuaji tu kitafika kipindi ataacha kama ww ulivyokuwaa unakuaa yapo mengi ya kijingaa uliyoyafanyaa mwache naye ayafaanye at the right tym muda utafikaa ataachaa trust me ..kuwa kwenye magroup dsnt mean kuwa anafanyaa hayo mambo noo ni anajifunzaa lazimaa mtu uwe na elimu dunia na elimu aheraaa cha msingi anawezaa kucontrol mambo yake lastly siku nyingine fanyaa ulichoombwa mengine hayakuhusu!!
 
Chunguza aina ya marafiki alionao..
Kama ni wa kike,mitoko kwake ipungue kwa asilimia 90..awe anatoka kwa sababu na mara nyingi awe ameongozana na mtu..
Ila amini kwa marika ya watoto wa form 4...marafiki wanaharibu sana!!!..

Na kama anaenda advance mpokonyeni simu mpka amalize six..muone kama huyo mbayuwayu wake ana ubavu wa kumnunulia simu.
Advance hataki kwenda ndo anaaply vyuo alivyo kimwonekano ni tofauti na nliyoyakuta kwenye simu hadi nasindwa nimuanze vipi nilitaka nimyangamye simu ila nimeona Bado haitosaidia
 
Dah umenikumbusha mbali sana

Enzi hizo nipo form 2, bro wangu nilimuomba anisaidie kupanga vitu maana nilikuwa nasoma boarding, akafuma kadi za love wishes na barua kadhaaa, mapicha ya beach

Nilichezea kichapo cha maana bila kujua napigiwa nn, after kipigo usiku ule kesho ndo naambiwa sababu

Dah utoto bhana

spend less, save more
 
Mkalishe umwambie, anakoelekea si kuzuri

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
mwache akae simu ya mtu ww umepekuaa ya nn yaan ww kaka gani unapekua simu ya mdogo wako wa kike??form 4 kwan mdogo mwache ajifunze asije kuwa gogo bure badae aje kusemwa cha msingi nyumbani ana heshima na anafanyaa yanayotakiwaa hapo nyumbani the rest ni ukuaji tu kitafika kipindi ataacha kama ww ulivyokuwaa unakuaa yapo mengi ya kijingaa uliyoyafanyaa mwache naye ayafaanye at the right tym muda utafikaa ataachaa trust me ..kuwa kwenye magroup dsnt mean kuwa anafanyaa hayo mambo noo ni anajifunzaa lazimaa mtu uwe na elimu dunia na elimu aheraaa cha msingi anawezaa kucontrol mambo yake lastly siku nyingine fanyaa ulichoombwa mengine hayakuhusu!!
Akizalishwa nyumbani utamsaidia jamaa kulea hiyo mizigo??

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Watu wengi ni watumwa wa teknolojia
Simu zimetufanya tusifikirie mambo ya muhimu kila saa ni vidole kufanya kazi tu
 
mwache akae simu ya mtu ww umepekuaa ya nn yaan ww kaka gani unapekua simu ya mdogo wako wa kike??form 4 kwan mdogo mwache ajifunze asije kuwa gogo bure badae aje kusemwa cha msingi nyumbani ana heshima na anafanyaa yanayotakiwaa hapo nyumbani the rest ni ukuaji tu kitafika kipindi ataacha kama ww ulivyokuwaa unakuaa yapo mengi ya kijingaa uliyoyafanyaa mwache naye ayafaanye at the right tym muda utafikaa ataachaa trust me ..kuwa kwenye magroup dsnt mean kuwa anafanyaa hayo mambo noo ni anajifunzaa lazimaa mtu uwe na elimu dunia na elimu aheraaa cha msingi anawezaa kucontrol mambo yake lastly siku nyingine fanyaa ulichoombwa mengine hayakuhusu!!
Mkuu kama anamsaidia ili naye aje kujitegemea halafu amuache hapana amwambie tu kumuonya kumuelekeza vyote sawa siku akija yupo taabani aanze kujilaumu hapana afikishe ujumbe akubali asikubali lakin utakuwa umefika

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom