Mvumbo
JF-Expert Member
- Aug 20, 2015
- 3,485
- 12,109
Salaam wakuu
Mtaani kwetu kuna msichana mzuri hakuna mfano wake! Jicho la kurembua, pua kama mnyarwanda, midomo ya kunyonya, sauti kama kinanda yaani akisema unahisi moyo unabadili mapigo.
Akicheka unatamani aendelee kucheka, sura yenye haiba, umbo namba nane, hips za kuvutia, chuchu kama miba, nyuma msambwanda wa kufanya wanaume wamuangalie kila anapopita!
Ni mchangamfu hadharau mtu, ana ngozi angavu isiyohitaji taa chumbani na pia mwili laini usio na kovu, ila kwa bahati mbaya kuna 'fala' kamuoa.
Nimefukuzia hivyo hivyo kwa kuvutwa na uzuri wake na imenichukua miaka sita, mpaka kufikia jumamosi ya jana ndiyo nimefanikiwa kutoka nae.
Alitaka twende safari ya nje ya mji kabisa ili kuepuka wambea kuvunja ndoa yake na hilo nikaliafiki.
Nikapeleka service Prado langu na kuhakikisha kila kitu kiko sawa na safari ikaanza taratibu na yeye alitangulia mpaka wilaya nyingine kwa bus kisha nilipofika tukajumuika ndani ya ndinga huku muziki wa bongo fleva ya kitambo ukiunguruma tartiiiiibu kwa ngoma kama vile sio kama sitaki demu, my boo, kama vipi, she got a gwan, uko wapi, zeze, nikupe nini, radhia, asali wa moyo, acha waseme, vailet, Aisha Aisha, mtoto wa geti kali, nakuwaza nk na muda wote mtoto alijiachia tu huku nikila kwa macho
Mambo yalikuwa kama hivi (si picha halisi)
Muda wote kulikuwa na hali ya hewa ya baridi na giza giza kutokana na mvua isiyokata, hali iliyozidi kuhamasisha kunako hisia zetu na hatimae nikaegesha nje ya hotel kubwa nje ya mkoa na ilikuwa na kila kitu ndani hivyo hakuna sababu ya kutoka nje.
Safari hii niliipania sana na kwenye koti langu niliandaa kama milioni tatu ambazo hazina kazi zaidi ya kula mema ya Nchi na huyu mtoto na iwapo zikipungua naweza kuingia ATM kuweka mambo sawa hivyo sikuwa na mawazo yeyote zaidi ya kuwaza chini.....nikitulia tutaendelea....