Kama umewahi kufumaniwa na mpenzi wako pitia hapa

Nov 5, 2019
13
45
Mwaka jana ulikuwa mwaka mzuri sana kwangu mwanzoni,uchachu ulianza ulipofika katikati ya mwaka hapa nazungumzia mwezi wa sita ambapo nliweza pata aibu kubwa ambayo kila nkiikumbuka huwa najiona bonge gaidi

Nakumbuka siku moja nlikuwa na wife tunaangalia tv chumbani kwenye nyumba moja ya mabibo ambayo tulikuwa tumepanga maeneo ya Mabibo. Wakati tunaendelea na kucheck tv, ghafla text ikaingia kwenye simu yangu ikisema "my leo nipo bored na mr hayupo huku, kama vip njoo unipe kampani". Huyu alikuwa ni mpangaji ni mke wa mpangaji mwenzangu ambaye mara nyingi mumewe anapoondoka usiku mimi ndo huwa naenda kuutawala mji wake, na ili nitoke basi nlikuwa na nasubiri mke wangu alale huku mi nazuga nacheki muvi.

Nkimchungulia nkiona kashaangusha gari basi mimi huyo naelekea viwanja kujilia vyangu. Kumbe ule mchezo aliugundua; vipi, ata sielewi, maana mke wangu mi ndo namuelewa. Yaani ana usingizi mzito balaa, lakini siku ile sijui ata ilikuwaje maana baada ya mi kumaliza kwa yule dem wa jamaa nkawa najirudia zangu chumbani kwangu huku nanyata maana uzuri tulikuwa wapangaji watatu tu, huyu mwingine alikuwa ni jamaa naye kaoa.

Cha ajabu ile naingia ndani taratibu nkachange bukta na kuvaa boksa tu maana kule nlienda na bukta kavu, nikapanda kitandani nakujifunika ghafla nkaskia "umeacha nyumba zote za mbali umeona uje unizunguke hum humu" aisee moyo ulinipasuka balaa.

Toeni na nyie vya kwenu yangu itaendelea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Titicomb

JF-Expert Member
Jan 27, 2012
8,252
2,000
Mimi sio mtakatifu lakini wewe jamaa haufai, hauna maana, hauna utu na hauna nidhamu. Kwanini uende kumsaliti mkeo kwa mke wa jirani yako?

Warembo wote hawa ambao ni young and beautiful uende kumdhalilisha mkeo kwa jirani yenu? Ukitaka kutoka nje basi fanya upgrade kama marehemu mzee Mengi unatafuta msichana kijana,mrembo na smart kiasi kwamba mkeo akijua anaona ilikuwa halali kuondolewa kwenye market na binti mdogo sio zilipendwa mwenzie.

Unaenda kutafuta mrembo mitaa ya mbali sio una nyea kambi. Mkeo ni mtu shupavu sana hakutaka fedhea kuja kuliamsha hapo kwa mke wa jirani huenda mumewe angekuuwa.
 

Aidanna

JF-Expert Member
Oct 25, 2019
769
1,000
Kuna mwengine yupo huku nadhani mnaendana tena msichana, mnafaa kunyatiana
 

Tony-stark

JF-Expert Member
Jul 20, 2019
978
1,000
Hahahahh Aisee jf,
embu mcomment Kama mlivyokua mnacomment kwenye ule wa kula kimasikhara,
Akianzisha mmoja tu wote mnafuata hivyo,hivyo.

Vigezo na masharti ya mleta uzi kuzingatiwa.
 

Dadii

JF-Expert Member
Nov 14, 2010
236
250
Na mbegu ikiingia utaambiwa mtoto ni wako!

Napata hata kigugumizi kuoa aisee!

Sent using Jamii Forums mobile app
kitanda hakizai haramu SSK2016. Hata sie tumezaliwa na wazee wetu hatujui ya nyuma ukitaka kula bata hamna haja ya kumchunguza,tutafute pesa kisha tuwape mgegedo wa maana.

Tuwe na muda nao,tuwapenda hawa ni viumbe dhaifu.Tu couple nao lasivyo tutapata taabu sana.

Sent from my SM-J510FN using JamiiForums mobile app
 

MWANAKA

JF-Expert Member
Oct 4, 2013
4,209
2,000
Nilitoka na demu mmoja bana kumbe yule mpangaji ana constant number za zupe lingine akalipigia Simu njoo uone mwenzio kaingiza zigo ndani
Huku na kule sins taarifa hamadi zupe hilo limeingia na limetufumania
Unajua kilichofuata ni nini ?
Ilinibidi niuvae ubaba nikavaa bukta na kizibao nikatoa tamko kwa wote kuwa kama mnataka kupigana wote kuanzia leo nawaacha na msinijue
Wakataka kuleta utata majirani wakaanza kukusanyika nikaona hapa naaibika mwanaume
Nilitafuta mfimbo nikaanza kupiga fimbo za migongoni matakaoni kichwani mbona walikimbia wote nikafunga mlango nikapanda Boda nikatokomea zangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mayuri

Senior Member
Feb 5, 2018
140
250
Nilitoka na demu mmoja bana kumbe yule mpangaji ana constant number za zupe lingine akalipigia Simu njoo uone mwenzio kaingiza zigo ndani
Huku na kule sins taarifa hamadi zupe hilo limeingia na limetufumania
Unajua kilichofuata ni nini ?
Ilinibidi niuvae ubaba nikavaa bukta na kizibao nikatoa tamko kwa wote kuwa kama mnataka kupigana wote kuanzia leo nawaacha na msinijue
Wakataka kuleta utata majirani wakaanza kukusanyika nikaona hapa naaibika mwanaume
Nilitafuta mfimbo nikaanza kupiga fimbo za migongoni matakaoni kichwani mbona walikimbia wote nikafunga mlango nikapanda Boda nikatokomea zangu

Sent using Jamii Forums mobile app


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom