Jibu tuu hivyo hivyo hata kama hujaelewaagrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!! Ki english!!!!
Hao madem wote asili yao wametoka TARIMEE, yaan wanaonesha chembe chembe za mapenz bila kupigwa na ngwala juu hajakamilika[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Jibu tuu hivyo hivyo hata kama hujaelewa
Hawa slaying queen yaani wanataka ready made man sio muanze from scratch kwahiyo hiyo sio inshu kwao na wengi wao foolish age 20’s ebu kunatana na lidada liko 30’s anayejielewa kama atakubali huo ujinga
Umewasema mawazo ya wanaume wengi ambayo yatapingwa na wanawake wengi.. [emoji3]wenzenu mayoung lakini wana miakili...nyie kalieni eti mgegedo wangu peke yangu mtalia kila leo
Na misagoooooh juuuuuuh woyoooooooooooooooooohUmewasema mawazo ya wanaume wengi ambayo yatapingwa na wanawake wengi.. [emoji3]
Ila wanaume tupo wachache, na bado hapo hapo kuna wengine. Michicha pori, damn