Wanandoa wengi hawasemi kiini cha migogoro

livewise1

JF-Expert Member
May 25, 2019
837
952
Habari za asubuhi wakuu.

Kwa matukio ya migogoro niliyoshuhudia na mingine kuambiwa ni wazi kuwa wanandoa huwa hawasemi ukweli wa vyanzo vya migogoro yao au ugomvi wao.

Ndio maana suluhu inayotolewa na waalikwa katika kutengeneza mahali walipoharibu wanandoa hutolewa lakini huwa haisaidii wala kuimarisha ndoa. Baada ya mda flani utaona wanandoa wameachana. Na hapo ndio sababu za ukweli hutolewa ikiwa ataulizwa mmoja wa wanandoa.

Mfano: kuna ostaz wiki mbili zilizopita alienda kusuluhisha ugomvi kigamboni. Rafiki yake alimualika baada ya ugomvi kuzuka kwake, akadai mwanamke hamuheshimu na salamu hampi pia dharau 100 kidogo.
Huyu ostaz ambae ndie aliowafungisha ndoa akaenda kuwasuluhisha...sasa kila akimuuliza mke, shida nini bibie mbona magomvi tena. Yule mke anasema mmewe yeye ndio anamkorofisha kwa kutoacha matumizi ya kutosha na pia anamhisi ana michepuko ndo maana hamjali labda. Kiujumla madai yake yalikuwa kama ni kuhisia tu maana jamaa alipoulizwa akasema sio kweli na kama mke ana ushahidi aseme.

Ostaz akasuluhisha fresh wakala na kuku akaondoka.

Maaaweeeeee....wikiendi hii si ostaz amemuona binti (mke wa jamaa) eti wameachana na mmewe.

Akauliza nini sasa cha mno? Mke akajibu "ujue shem mi nilikuwa namstiri tu jamaa yako lakini alikuwa ananilazimisha kuniingilia kinyume na maumbile"

"Ndio maana ulipoondoka tu akaanza kusema si ostaz amesema tuishi vizuri usininyime nachotaka, mi nikasema nitaondoka"

Binti akamuonesha na ushahidi wa sauti ostaz kumbe alikuwaga anamrekodi bana na sms za jamaa pia ambazo bado anamtumia kumlaumu eti "kisa kukuomba ndogo tu ndio unaamua kuacha ndoa hivi una akili kweli wewe?? Nenda kwanza mpo wengi"

Ostaz akachoka na akasema kuanzia leo mambo ya kusuluhisha staki...

Aliponielezea mimi nikamwambia mkuu hiyo case mi naskia kwa mara ya 5, kwamba wanandoa wanaongopa hawasemi ukweli ndio maana suluhu hazifanyi kazi.

Married people, speak the truth to keep your *wasuluhishi* at ease.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mambo mengi tunayodaiana kwenye ndoa ni very personal na kwa akili ya kawaida mtu wa nje akijua anaweza kutuona wote hatuna akili lakini kimsingi wenyewe tunayaona ya maana kwelikweli. tuacheni na ndoa zetu
 
Mambo ya wana ndoa hutatuliwa na wanandoa wenyewe. Wao wakishindwa hakuna mwingine atakaeweza

Sent using Jamii Forums mobile app
Amen to that, me nasemaga kila siku hakuna wa kusuluhisha mgogoro wa ndoa, mkishindwa kuyamaliza wenyewe hakuna wa kuyamaliza ni kujidanganya tu, eti unaenda kushitaki kwao mumeo kwamba huwa anakupiga sasa unazani wao watamfunga mikono, sijui ana chepuka unazani ukishitaka ndo ataacha aghaaaaaa
 
Mie nabakigi na yangu, tena ukienda shtaki kwa ndugu wa mume ndo utajuta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amen to that, me nasemaga kila siku hakuna wa kusuluhisha mgogoro wa ndoa, mkishindwa kuyamaliza wenyewe hakuna wa kuyamaliza ni kujidanganya tu, eti unaenda kushitaki kwao mumeo kwamba huwa anakupiga sasa unazani wao watamfunga mikono, sijui ana chepuka unazani ukishitaka ndo ataacha aghaaaaaa
Lakini ndio procedures zilizopo na hufuatwa na wanandoa kila uchao.
Maana mnaweza kupata new experience labda tatizo lenu wengine walipitia kama hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za asubuhi wakuu.

Kwa matukio ya migogoro niliyoshuhudia na mingine kuambiwa ni wazi kuwa wanandoa huwa hawasemi ukweli wa vyanzo vya migogoro yao au ugomvi wao.

Ndio maana suluhu inayotolewa na waalikwa katika kutengeneza mahali walipoharibu wanandoa hutolewa lakini huwa haisaidii wala kuimarisha ndoa. Baada ya mda flani utaona wanandoa wameachana. Na hapo ndio sababu za ukweli hutolewa ikiwa ataulizwa mmoja wa wanandoa.

Mfano: kuna ostaz wiki mbili zilizopita alienda kusuluhisha ugomvi kigamboni. Rafiki yake alimualika baada ya ugomvi kuzuka kwake, akadai mwanamke hamuheshimu na salamu hampi pia dharau 100 kidogo.
Huyu ostaz ambae ndie aliowafungisha ndoa akaenda kuwasuluhisha...sasa kila akimuuliza mke, shida nini bibie mbona magomvi tena. Yule mke anasema mmewe yeye ndio anamkorofisha kwa kutoacha matumizi ya kutosha na pia anamhisi ana michepuko ndo maana hamjali labda. Kiujumla madai yake yalikuwa kama ni kuhisia tu maana jamaa alipoulizwa akasema sio kweli na kama mke ana ushahidi aseme.

Ostaz akasuluhisha fresh wakala na kuku akaondoka.

Maaaweeeeee....wikiendi hii si ostaz amemuona binti (mke wa jamaa) eti wameachana na mmewe.

Akauliza nini sasa cha mno? Mke akajibu "ujue shem mi nilikuwa namstiri tu jamaa yako lakini alikuwa ananilazimisha kuniingilia kinyume na maumbile"

"Ndio maana ulipoondoka tu akaanza kusema si ostaz amesema tuishi vizuri usininyime nachotaka, mi nikasema nitaondoka"

Binti akamuonesha na ushahidi wa sauti ostaz kumbe alikuwaga anamrekodi bana na sms za jamaa pia ambazo bado anamtumia kumlaumu eti "kisa kukuomba ndogo tu ndio unaamua kuacha ndoa hivi una akili kweli wewe?? Nenda kwanza mpo wengi"

Ostaz akachoka na akasema kuanzia leo mambo ya kusuluhisha staki...

Aliponielezea mimi nikamwambia mkuu hiyo case mi naskia kwa mara ya 5, kwamba wanandoa wanaongopa hawasemi ukweli ndio maana suluhu hazifanyi kazi.

Married people, speak the truth to keep your *wasuluhishi* at ease.

Sent using Jamii Forums mobile app

dah !!!!!!!!!!!dunia imesisha mkuu...siku hizi mambo ya giza na kuombana tigo imekuwa too much...siyo kwa wanawake wala wanaume ......kweli dunia inaenda kasi mnooooooooooooooo
 
Back
Top Bottom