Swali langu ni hilo tu,sijui kama linawezekana au lipo nje ya uwezo wa kibinadamu.
Nina watoto wawili wote wanafanana na mama yao,na yeye si mwaminifu 100% sasa nashindwa kuwa na uhakika kama...
Habari zenu
Mimi ni kijana wa miaka 27 naishi dar es salaam.
Natafuta mke wa kumpenda na kujenga familia nae.kwangu naona huu ndio wakati sahihi wakuanza kujenga familia.
Kwanini natafuta...
Leo sina maneno mengi nina swali tu hivi kwa nini mademu wabaya huwa wanaringa sana?
Unaweza kuta amepita eneo ukimsalimia anajifanya kuweka wa mbuzi kama hajasikia vile mbafuuuuuu.
CC Zero IQ
Dear Ladies and Gents,
I found A man in which he told me that he wants me to be his second wife and he is a christian.
And as far as I know christian men are not allowed to add a second wife.
I...
Marafiki ni watu muhimu sana katika maisha yako,ingawa ni vigumu sana kupata marafiki wa kweli kwa sababu wengi ni wanafiki, na utawagundua hasa pale utakapokutana na changamoto za kimaisha. Swali...
Wakati nimemaliza chuo nilibahatika kupata shughuli iliyokuwa inanipa pesa ya kusukuma maisha. Nikaingia kwenye mahusiano na mdada flani.
Kusema kweli yule dada aliuwa wife material. Alikuwa...
Kuna post nyingine tuwaachie wanawake au naumwa dua zenu jamani, huu sio uanaume na pia kuna baadhi ya emoji mwanaume hupaswi kuzitumia hasa unapochati na mwanaume mwenzako
Sent using Jamii...
Kutokana na kuimarika kwa teknolojia na ubora wa elimu duniani,vijana wengi wadogo au wenye umri wa kati wamekuwa wabobezi au mabingwa katika fani walizosomea, mfano udaktari wa kutibu binadamu...
Ewe
Kaka/ Baba/ Kijana mwenzangu
Umeoa?
Kama umeoa ama unaishi na mwanamke/ demu wako. Kama unataka kuwa mwanaume bora fuata njia hizi. zitakusaidia kuonekana umo kwenye kundi la wanaume kamili...
Habari zenu,
Mambo yasiwe mengi ni hivi apa nilipopanga kuna binti makamu ya 23 ni mjamzito na kama ilivyo desturi watu wa aina hii huwa wanakuwa na upendo wakati mwingine na mtu fulani si...
Habari wakuu,
Kwako wimbo gani wa mapenzi kila ukiusikiliza, ima uwe wa furaha au huzuni unahisi unakulenga moja kwa moja?
Kwangu mimi wimbo wa Isha mashauzi, NIMLAUMU NANI? unanigusa...
Wandugu mnaweza kuniita jina lolote baya mnaloweza kujisikia kuniita. Iwe zezeta, zoba, Boya, punga, mwanaume suruali, hanithi vyovyote mimi nitakubali tu.
Ni baada ya jana ambapo nilipanga na...
Dah, unajua duniani hapa kuna majaribu sana. Kweli unayempenda hakupendi na anayekupenda humpendi.
Kuna binti ananipenda vbaya mno, na nishamla sana almost mwaka wa pili huu na sio “main chick”...
Aloo imenikuta Leo hii.
Daaaah... mzee wa kasumba leo ninmeongeza paatikana mwee.
Aloo Kuna binti bn nilimuwekea malengo flani hivi mazuri, khaaa saa ngapi leo napewa taarifa kuwa ana mimba tena...
Huenda nikaokoa mtu humu au popote pale utapokisoma kisa hiki.
Umofia kwenu,
Story yenyewe iko hivi, mwaka 2012 takriban miaka minne baada ya kufunga ndoa na mke wangu kipenzi nilijikuta nikiwa...
Mtoto wa mama mwenye Nyumba Yupo likizo kipindi hiki cha corona,
Kiufupi sikuwahi kumuona kabla kwa sababu kipindi nilipoamia hapa alikua Zake Anasoma huko Arusha,
Wiki mbili tatu hizi niliamua...
Kwanza kama nitakosea kuandika mnisamehe, nasisitiza kindly concentrate kwa content. Leo ni mimi, kesho it could be you or anyone else. Usinidhihaki.
Nimekuwemo JF for the past five years as...
Mi kuna Tabia yao moja hivi ndio huwa inanishangaza sana ,
"Mwanamke unakuta yuko anaongea Vizuri na shoga(Rafiki) yake ,watapika wale,watoke out lakini akiondoka tu Nyuma lazima Amng'ong'e na...