Tabia gani za wanawake huwa zinakushangaza sana?

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,917
24,674
Mi kuna Tabia yao moja hivi ndio huwa inanishangaza sana ,

"Mwanamke unakuta yuko anaongea Vizuri na shoga(Rafiki) yake ,watapika wale,watoke out lakini akiondoka tu Nyuma lazima Amng'ong'e na kumponda ,

Utakuta kapigiwa simu na Shoga (Rafiki) yake wanaongea kwa Furaha na kukaribishana lakini wakikata simu tu kila mmoja anampondea mwenzake,"

wanawake wanashangaza sana .

Tabia yao Nyingine ni ile ya Kufua Chupi na kuanika kamba ya Mbele kabisa ,hii tabia kwangu inanishangaza sana hawajui kwamba kuna mabaharia huwa wanapigia Master.

Cc zero IQ

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nishawahi ingia saloon moja mdada kasukwa yeboyebo, wote wakamsifia kuwa amependeza. Yaani alivyotoka tu saloon wakaanza kumponda eti " duuu kile kichwa mmekiona ningekuwa mimi ningenyoa tu" mwingine naye" loo sio kwa lile komwe" nilijisikia vibaya sana nikijua kabisa na mimi nikitoka kifuatacho itv......

Tatizo kubwa hatupendi kuambiana ukweli.... Siku moja kwenye group la WhatsApp mtu katupia picha amesuka sijui manywele gani watu full Numidian ooh umependeza mimi wala sikusema kitu japo nilikuwa active kwenye group muda huo nikaulizwa mbona husemi? Nikawaambia mimi sijaona mlivyoona ninyi sio lazima niseme ninachoona. Wacha nipigwe vijembe hahaa

Babe...
Nilisha kukataza hayo ma group huko WhatsApp lakini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo utakuta umetoka wamesema dooh yule Dada kapiga pasi kabisa kule nyuma hana hata chura nywele zenyewe zimekosa ushirikiano

.hivi kwa nini hampendani ?
Nishawahi ingia saloon moja mdada kasukwa yeboyebo, wote wakamsifia kuwa amependeza. Yaani alivyotoka tu saloon wakaanza kumponda eti " duuu kile kichwa mmekiona ningekuwa mimi ningenyoa tu" mwingine naye" loo sio kwa lile komwe" nilijisikia vibaya sana nikijua kabisa na mimi nikitoka kifuatacho itv......

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom