Je, baba afanyaje ili watoto wake wafanane na yeye tu?

Je, baba afanyaje ili watoto wake wafanane na yeye tu?

Tunguja

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2018
Posts
501
Reaction score
406
Swali langu ni hilo tu,sijui kama linawezekana au lipo nje ya uwezo wa kibinadamu.

Nina watoto wawili wote wanafanana na mama yao,na yeye si mwaminifu 100% sasa nashindwa kuwa na uhakika kama watoto ni wangu au sio wangu kwakuwa wanafanana na mama yao.
 
Swali langu ni hilo tu,sijui kama linawezekana au lipo nje ya uwezo wa kibinadamu.
Nina watoto wawili wote wanafanana na mama yao,na yf si mwaminifu 100% sasa nashindwa kuwa na uhakika kama watoto ni wangu au sio wangu kwakuwa wanafanana na Mama yao.
Ukitaka Uhakika kapime DNA.


Ila kufanan kwa mtoto inategemea na genes za wazazi, ya nani ipo na nguvu.

Kapime DNA. Ila achana na hizo mambo, lea watoto wako hao, haijalishi wametoka kwenye viuno vya nani, maana kuna mambo unaweza taman hata usinge yajua.
 
Anza kupima hali ya uwezo wako wa kuzalisha
Swali langu ni hilo tu,sijui kama linawezekana au lipo nje ya uwezo wa kibinadamu.

Nina watoto wawili wote wanafanana na mama yao,na yeye si mwaminifu 100% sasa nashindwa kuwa na uhakika kama watoto ni wangu au sio wangu kwakuwa wanafanana na mama yao.
 
Maisha ni vile unavyoyaishi wewe,unaweza chagua masha ya furaha au maisha ya udhuni.. ..its your call to chose which way to live
 
Ni bora kujua kuliko kutojua,kutokujua haimaanishi huibiwi ,najua hata nikioa mwingine mambo ni yaleyale hakuna ambaye ana uhakika mkewe hachepuki,labda kama alishakufa
Kama siyo mwaminifu na unalijua hilo, kwa nini uko naye? Labda unastahili unachokipata!
 
muulize mkuu melo...huenda ukapata jibu sahihi..
 
nadhani lengo lako si kutaka wafanane nawe sababu wameshazaliwa, lengo lako ni kujua kama ni wako, achana na DNA hakuna majibu watakayosema wewe si baba yao sababu wanaangalia sana matokeo ya kukuambia ukweli kuliko ukweli wenyewe.

Ni rahisi sana kujua kama ni wa kwako, subiri wanao wakifikisha miaka miwili jaribu hii njia: Kwa kawaida mtoto akifanya kosa ukamchapa viboko kama ni wa kwako atakimbilia ndani hata kama mama yake hayupo ndani, ukikafuata
kanakimbilia chumbani kakichoka kanakuangukia miguuni.

Lakini kama siyo wa kwako ukimchapa lazima akimbilie nje na kakiwa kanalia hakaiti baba. Ukiona hivyo unakachapa viboko kanakimbilia nje hadi mtaani huko jua wazi hapo unalelea mwanaume mwenzio. Achana na DNA.
 
mjusilizard, Daaa hatari,kuhusu kupima DNA ulichokisema ndio ukweli mtupu,najua majibu yake hata kabla sijaenda ndio maana siwezi kwenda,nilichokuwa nataka kufahamu ni hao wengine watakaokuja baada ya hawa wawili,naweza kufanyaje ili nifanane nao,mwezi ujao kazi inaanza rasmi ya kutafuta kiumbe cha tatu
 
Back
Top Bottom