Is it fair to be a second wife in christian religion

Is it fair to be a second wife in christian religion

Unique Flower

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
12,840
Reaction score
25,367
Dear Ladies and Gents,
I found A man in which he told me that he wants me to be his second wife and he is a christian.
And as far as I know christian men are not allowed to add a second wife.
I left him but he still need me.
I want my husband only for me .
 
Unique Flower,
Lugha ya malkia iliondoka na meli 1961. Nadhani kwenye heading neno fair sio mahali pake, wakristo hawaruhusu ndoa za mitala hivyo ni kinyume na ukristo na ni kosa kwa unakoabudu. Hakuna issue ya fairness ni ama uende kinyume na mafundisho au la.
 
Ukristo ni kuwa na Roho Mtakatifu, Kama huna Roho Mtakatifu wewe sio Mkristo.
Warumi : Mlango 8
14 Kwa kuwa wote wanaoongozwa na Roho wa Mungu, hao ndio wana wa Mungu.
 
Hakuna sehem bibilia imemzuia mkristo kuoa zaidi ya mke mmoja, actually bibilia inashauri tuoe zaidi ya mke mmoja. Mkitaka vifungu nawaletea. Mm ni mkristo halali kabisa
 
Dear Ladies and Gents,
I found A man in which he told me that he wants me to be his second wife and he is a christian.
And as far as I know christian men are not allowed to add a second wife.
I left him but he still need me.
I want my husband only for me .

Ndoa ni makubaliano kati ya watu wawili: mwanamume na mwanamke. Hayo mengine ni formality tu ambazo hazina mchango wowote kwenye maisha yenu.
 
You shouldn't have to worry, religion is man made, agree with him provided you get what you want. Let me advice men to marry as many as possible , but make sure you provide good service to everyone
 
Lugha ya malkia iliondoka na meli 1961. Nadhani kwenye heading neno fair sio mahali pake, wakristo hawaruhusu ndoa za mitala hivyo ni kinyume na ukristo na ni kosa kwa unakoabudu. Hakuna issue ya fairness ni ama uende kinyume na mafundisho au la.
Nadhani angetumia nano possible
 
Back
Top Bottom