Je nimtafune au nimuache tu

Je nimtafune au nimuache tu

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,204
Mtoto wa mama mwenye Nyumba Yupo likizo kipindi hiki cha corona,
Kiufupi sikuwahi kumuona kabla kwa sababu kipindi nilipoamia hapa alikua Zake Anasoma huko Arusha,

Wiki mbili tatu hizi niliamua kujiweka karantini ili niangalie upepo wa Corona unavyokwenda ,
Sasa tangu afike hapa kwa Mama yake naona Shobo zimezidi,
Mtoto ni pisi kweli kutwa kushinda na Kanga moja tu ,
Nikitoka nje mtoto yumo, sometime akiona bi mdashi wake hayupo anakuja gheto kuzuga kucheza na Desktop yangu eti anataka nimfundishe kutumia Computer.

Majaribu yamekuwa ni mengi nimeshaanza kuona hii covid effect ya watoto wa shule kwa huyu dogo,

Cha kumshukuru Mungu ni kwamba Mtoto mwenyewe yuko Advance form 6,Anasubiri kesho kutwa tu hapo apige pepa,

Je Nimtafune au Nimaintain tu .

Nb.
Ukitoa ushauri usisahau kwamba Kuna dada yake wa damu na huyu dogo nimeshamtafuna tayari.

Cc Zero IQ

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ww n mvulana muache ila kama ni mwanaume .......a

Kumbe zeroiq unaishi nyumba za kupanga? JF bwana?
Ndugu yangu ni lini nilisema nimejenga mie,
Naishi kwenye Chumba cha kupanga sio nyumba tena ni kachumba kamoja tu kasichokuwa na sebure wala choo na bafu (master),

Mi maisha yangu mbona ya kawaida tu kila mtu anajua humu mimi ni mchakata viazi kuwa chipsi.

ila tu papuchi ndio Starehe yangu

CC Zero IQ
 
Back
Top Bottom