Style gani za kunyoa nywele na ndevu zinayowavutia wanawake?

tang'ana

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
11,879
15,459
Hello jf!
Hivi ni style gani za kunyoa nywele na ndevu kwa wanaume huwa zinawavutia wanawake wa kitanzania?
 
Inategemea wengine wanapenda mapara kama uwanja wa ndegu , wenigne viduku, wengine bwenzi, wengine bado nasoma wengine kijogoo. ILA STYLE ZA NYWELE WANAWAKE HAWAPENDI LABDA WASICHANA NA MABINTI................. wanawake wamenielewa
 
Back
Top Bottom