Kweli wanawake ambao hawana tamaa wapo, Nimeamini

Applicant

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2020
Posts
1,962
Reaction score
1,757
Katika pitapita zangu huko mkoani nnje ya Dar, nimeshuhudia wanawake wazuri sana halafu hawana tamaa kabisa kama hawa wa kwetu wa hapa mjini.

Nakumbuka katika week3 zile nilizokaa kule mkoani nilipata mwanamke mmoja mzuri sana, hata kuomba hela hajui, nakumbuka kuna siku nikaamua tu nimpe 5,000 aisee alishukuru mpaka nikajisikia vibaya, yani alishukuru sana mpaka akataka kulia.

Nakumbuka jioni nimetulia zangu napunga upepo, mara nashangaa kuona yule binti anakuja na poti la Ugali na Samaki, Namuuliza vipi mbona minshakula eti akadai kua ile 5,000 niliyompa kuna vitu alinunua iliyobaki akaona anunue samaki akapike kwa kua vitu vingine alikua navyo nyumbani, nilishangaa sana.

Wakati nakula Ugali pale na yule binti nilikumbuka siku 1 nikiwa Dar Baada ya kupiga mechi na Halima nikampa 30,000 lakini aliikataa na kunitolea maneno makali "iiii ya nini sasa hainitoshi, kama ndoivi siku nyingine sijiiii!!! " NILIJIONA MJINGA SANA KUMBE NINATAPELIWAGA PESA ZANGU BILA KUJIJUA.

Kuna vitu vinashangaza sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole bro wenzio huku bush tunatoa buku tuu.
 
huo mkoa gani labda kama ni kijijini coz kijjini ndo sehemu pekee unaweza ukala bupu bila kutoa chochote na demu akarizika freshi tu japo kwa miaka hii nako sijui kama bado wanatabia njema kama hiyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom