Kabla ya kuingia ndani hakikisha umenawa vizuri

Kabla ya kuingia ndani hakikisha umenawa vizuri

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
28,122
Reaction score
52,886
Leo nimerudi nyumbani nikajisahau nikaingia ndani sijanawa,dogo kuniona kaja speed mia kunihug .nimepata adhabu ya kukimbizana nae nyumba nzima kumkwepa.nikaona Bora nije niwakumbushe wenzangu humu kuwalinda hawa malaika .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom