Bado sijajua. Ni white/black. In dilemma mood.

shylock

JF-Expert Member
Dec 14, 2017
795
1,326
Wakubwa shikamooni? Wadogo zangu marahabaaaa.
Direct to the point : kuna binti Nina mahusiano nae h7 mwaka wa pili sasa tulikutana alipokuja dar kusalimia dadake ambaye alikuwa jirani yangu. Tulianza anakuja nite nagonga mzingo mwisho wa siku kila kitu kikawa live mpaka kwao wakajua.
Mwaka huu mwezi we 10 kulitokea msiba kwao huko Dodoma basi nikampa nauli na hela ndogo ya kula
Tumeendelea kuwasiana tangu aondoke hadi juzi kata 22Dec. Aliposema nimtumie nauli aje before Xmas.
Mzee baba nikajikoki nauli ya dodoma ni 25 kwa sasa ila mi nikatuma 50., kapokea kashukuru kasema anakuja kesho yake ndio mazima hadi Leo na Mimi sijamtafuta wala kumuulizia dadake.
Sidhani kama elfu 50 . Inaweza kumfanya anizimie simu maana huwa namtumia kila weekend 20/30 kama za matumizi......bado sijamwelewa ingawaje anasifa na vigezo vyotr vya wife I need in my life. Sijui nishaibiwa au nilikuwa nimedandia train kwa mbele?
 
Subir kuambiwa sababu ya uwongo na yataisha tu mkuu, utaendelea kuwa nae.

na pole kwa kuwa wew una malengo nae but hujui kama yeye anamalengo na wew
 
Ungekuwa unamtumia 20/30 weekend asingezima simu jombaaa...!!

Kimsingi hapo ushpigwaaa
 
Subir kuambiwa sababu ya uwongo na yataisha tu mkuu, utaendelea kuwa nae.

na pole kwa kuwa wew una malengo nae but hujui kama yeye anamalengo na wew
nataka nimpe ban ya kutopokea simu zake for 3 months
 
Back
Top Bottom