Maisha ya Bongo kavu sana: Baba hawezi kuonyesha mapenzi kwa mtoto wake wa kike

kwenda21

JF-Expert Member
Mar 11, 2014
3,421
3,391
Siyo uongo kuwa sisi mababa tunapenda sana watoto wa kike kuliko wa kiume, mtoto wa kiume atapendana na mama yake ila changamoto kubwa inakuja ni kwamba tunakosa Uhuru wa kuonyesha mapenzi ya kweli kwa watoto wetu wa kike kwani waswahili hawakawii kuzusha habari zao za upumbavu.

Huwezi kwenda na mwanao beach mka-enjoy, huwezi kuogelea nae, huwenzi na haipendezi muda wote muwe pamoja mbele zao. Utasikia "mh! wake sijui"

Jamani tubadilike, mtuachie nafasi tuonyeshe upendo kwa wanetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dhana ya upendo ni pana sana.. Kuna upendo hasi na kuna upendo chanya.. Kuna upendo unazingatia maadili, heshima, hekima tamaduni na mila na kuna upendo wa kuiga usio na maadili na hayo mengine yote
Zingatia na makinika kuhusu kitu hicho upendo kwa mtoto.. Kumbuka unaumba future yake... Kuna siku unaweza usiwepo na mtoto akaishi na majuto yasiyo isha akibaki tu kukulaumu
Mjenge mtoto katika njia sahihi yenye kutafakari heshima na hekima kwa chochote atakachokifanya ili aje kujivunia nawe na sikupiga mawe kaburi lako
 
Unachotamani ni kuogelea naye na kwenda beach hayo ndo mapenzi kwa binti yako? Malezi yote ya mtoto mpaka anaweza kwenda beach na kuogelea ndo ulichoona kimepungua? Nadhani kuna mahali tulivukishwa hatua za malezi na wazazi wetu!! Hebu pitia walau maandishi ya Sigmund Freud inaweza kukusaidia kidogo on child psychology!!
 
Unachokitafuta wewe ni kingine kamwe siyo upendo wa Malezi, bali unatafuta Upendo wa kula tunda Kimasikhara, hao Wazungu unaoongelea kuwa wanaogelea na Mabinti zao kuanzia Mila zao na Maumbile yao ni Zerro katika Matamanio ya kingono kwa Mwanaume. Jaribu kuiga hayo ya Wazungu mwishowe utajikuta umetafuna kifaranga chako kimasikhara.
 
Dhana ya upendo ni pana sana.. Kuna upendo hasi na kuna upendo chanya.. Kuna upendo unazingatia maadili, heshima, hekima tamaduni na mila na kuna upendo wa kuiga usio na maadili na hayo mengine yote
Zingatia na makinika kuhusu kitu hicho upendo kwa mtoto.. Kumbuka unaumba future yake... Kuna siku unaweza usiwepo na mtoto akaishi na majuto yasiyo isha akibaki tu kukulaumu
Mjenge mtoto katika njia sahihi yenye kutafakari heshima na hekima kwa chochote atakachokifanya ili aje kujivunia nawe na sikupiga mawe kaburi lako

Jr
Uko sahihi kabisa !!
 
Mtoa maada nafikr yupo sahihi ebu tusiangalie na ku hit sana hapo kwenye kuogelea ametolea tu mfano.

Suala la kumlea mtoto wa kike hata Mimi naona Lina ugumu flani tofauti na mtoto wa kiume. Sina mtoto wa kike lkn naamin siku moja Mungu anaweza akanibarik kuwa na mtoto wa kike, Sasa huwa nawaza mtoto wa miaka let say 6 kushuka ikitokea siku nasafir nae na natakiwa nilale gest itakuaje?

Ikitokea mama ake amesafir kwa miezi kadhaa nitamleaje? Siku nimeenda nae sokon umeongozana na binti ako utaona mijitu inakuangalia vibaya ikihisi n fataki kumbe Ni mwanao nafkir mtoa mada pia kasisitiza hilo.
Suala la kumjenga kimaadili n sahihi lkn Kuna saa Kuna Mambo naona Kama yanaingiliana vile.
Ebu Basi tunaomba uzoefu wenu Leo!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa maada nafikr yupo sahihi ebu tusiangalie na ku hit sana hapo kwenye kuogelea ametolea tu mfano lakin Kama suala la kumlea mtoto wa kike hata Mimi naona Lina ugumu flani tofauti na mtoto wa kiume. Sina mtoto wa kike lkn naamin siku moja Mungu anaweza akanibarik kuwa mtoto wa kike, Sasa huwa nawaza mtoto wa miaka let say 6 kushuka ikitokea siku nasafir nae na natakiwa nilale gest itakuaje? Ikitokea mama ake amesafir kwa miezi kadhaa nitamleaje? Siku nimeenda nae sokon umeongozana na binti ako utaona mijitu inakuangalia vibaya ikihisi n fataki kumbe Ni mwanao nafkir mtoa mada pia kasisitiza hilo.
Suala la kumjenga kimaadili n sahihi lkn Kuna saa Kuna Mambo naona Kama yanaingiliana vile.
Ebu Basi tunaomba uzoefu wenu Leo!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mfano haukuwa sahihi... Hivyo umeondoka na ladha yote

Jr
 
Mtake msitake huku afrika mtoto wa kike hana Uhuru kwa baba yake, angalia waafrica wa ulaya wanavyofurahia na watoto zao wawe wa kike au wa kiume,huku Africa hasa hapa kwetu hawataki kuona hilo,ila ukweli ni kwamba baba ana mapenzi sana na mtoto wa kike,kama ilivyomtoto wa kike kwa baba yake, au mtoto wa kiume kwa mama yake,matokeo yake tunaonyesha mapenzi nusunusu kwa watoto wetu hasa wa kike,acha hilo uwe na mtoto wa kike harafu onyesha upendo sana,watasema tu wabongo,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mfano haukuwa sahihi... Hivyo umeondoka na ladha yote

Jr
Teh! Lakin kuogelea pia Kuna baadhi ya familia Ni suala la msingi kwao yaan Ni sehemu ya maisha. Mzazi anaenda na familia analipa kiingilio anaenda kuogelea na nmewahi kusoma kitabu kimoja kinashauri kwamba jitahid baba jitahid kufanya Mambo ambayo wanaume wengi huwa wanazitumia kumlaghai mtoto wa kike kwa mfano.
Siku moja moja mtoke out wewe mama na binti wanunulie chips mayai + mishkaki siku nyingine unawapeleka hotel mnakula msosi mnaguuza si hivyo tu bali unaweza ukampeleka beach kuogelea. Pia usisahau kumnunulia simu nzuri kwa muda muafaka.
Hii itasaidia siku amekutana na kibaka mafundi wa kuharibu mabinti akitaka kumuahidi simu anasema baba kashaa ninunulia simu nzuri, akisema twende nkakununulie chips mayai atasema juzi Kati nmetoka kula baba alininunulia na bado ataninunulia tena.
Mwisho wa siku your daughter will remain safe to same extend!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
🤣🤣
Jamaa inaonekana anamunung'uniko halafu watu mnamkandia!!
Kama unataka hizo pigo zakiwaki nenda USA!! huku tukiuzika tutakuroga kabisa uache upuuzi unafaa kupelekwa karantini wewe
 
Mnaanzaga hivi hivi, na mwisho mnawala kweli.... kwani hatuyaoni mtaani..?
 
Recu
We naye ni wa hovyo tu mzee, miaka 6 kushuka chini ndo ushindwe kulala naye... na uogope kuongozana naye.?
 
kwenda21
Hao unaowaita ‘waafrica wa Ulaya’ ni maserebriti, ni mastaa mzee wangu... maisha yao ni ya kideoni.

Hata bongo wapo ila mara nyingi ni tofauti na uhalisia.
 
Back
Top Bottom