Read this and comment mukasa wa kweli

Read this and comment mukasa wa kweli

Unique Flower

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
12,840
Reaction score
25,367
True story
Kuna mdada ameniliza leo .
Tuanze kazi anapata ni kazi nzuri sana halafu kwa kila kazi anayopata anatolewa baada ya miezi miwili.
Napia watu wapale hata kama hawamchukii lazima kuwe na sababu tu atatolewa.
Unakuta anajengeka chuki kali kwa mabosy nakutolewa kwa lazima.
Chakushangaza wateja wanamsifia kwa kazi nzuri ila mamanagers wanamkinai.
Sio tu ofisini kila kitu hadi wachumba hadumu nao ila watu kama mashemeji hushangwaza nauamuzi wa muhusika kumuacha mtu ambaye hana shida yeyote.
Akiamua kujikita kibiashara nothing no customers na huwa anajikuta kuwa amepoteza muda na hela anaamua kuacha anafunga biashara.
Kuna jingine pia hata akiahidiwa pesa au kazi au biashara awe mwanamme au mwanamke ahadi haitimii.
Kazi akitafuta hadi machozi akipata ndio hadumu jamani mumusaidie hii mwanadada
 
Sisi tunamsadiaje?
Hana wazazi?Bibi na babu?

Tumfanyie Sisi matambiko au aulize kwao wamasaidie?
 
Kichwa cha habari kimedhihirisha kuwa wewe kama si Mnyaruanda ni Mrundi , Mganda au Mtanzania wa nchi hizo nilizotaja
 
Njoo PM nahitaji mazungumzo zaidi. .. Huenda Allah ataleta sahal...
 
Back
Top Bottom