Nimenunua penzi

Jstar1

JF-Expert Member
Aug 1, 2019
1,389
1,337
Kwa mara ya kwanza nmenunua penzi, yaani nmelala na malaya,

nina hali ngumu, visenti nilivyo navyo vinanifanya nipoteze mwelekeo.

sina mpenzi wa kuamnika.

nawaza kuoa.

napoteza.

naloose control.

nina mambo mengi, mpaka inafkia wakati nayumba, nina stress, nmekonda.

wasichana hawaaminiki, na wa rika labgu ndo pasua kichwa.
 
Malaya wana haribu sana destiny mzee.

1.Wamebeba energy za watu wengi na hutumika sana rohon directly au indirectly .

2.Kuna ambao ni visu warembo mno na wana mpunga tu, ila wanafanya hivyo ni kama sehemu ya task zao za kiroho.

3. Wengine si malaya kabisa bali ni malaya wa misimu, inakuwa ni sehem ya tambiko au ku please roho flani kuendelea kufanya agano naye, ndio utakuta mtu anajiweka road au viwanja akifanikisha ana agano lake kuwa haonekani tena.

4.Wengine ni vigagula, yupo pale kuiba nyota na vitu vingine kupitia Sex

5.Wengine ni wakusanya sperm, ambazo zinakaz maalum. Unakuta mwongin hata humgongi ila unalal na fisi kichawi unajiona unakula demu mkali.

Wengine wanakusanya hizo condom, kazi inaendelea.

Deal na ishu zako kiroho, utasolve mengi ya mwilini pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mzee umeokoka?? wewe ni dini gani?? you are very spiritual

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kuna mtu mwenye pesa atajiuza? Acheni zenu nyie....

Hao malaya wote wanaojiuza wanatafuta pesa.
Kuna mmoja alikua Secretary wa ofisi fulan hapa Town Ana usafiri wake Subaru forester ila anajiuza
Siku moja nikamuuliza unatatizo gani hadi Unafanya hivo??
Akasema huwa ana jikuta tuu anafanya japo nae hapendi Hiyo tabia

Ukiangalia kiroho zaid utagundua kuna Roho ya ukahaba inamwendesha anataka kutoka huko ila anashindwa

Kwa hiyo usishangae mtu ameolewa na Ana maisha mazur lkn anatoka nje ya ndoa Au anajiuza ni liroho la ngono limemvaa halimwachi

Akizeeka linahamia kwa Watoto we chunguza kwa makini watu wanao jiuza Sio wote lkn
Tatizo lilianzia kwa Wazaz wao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom