Msiopenda gharama huu ndio muda wa kufunga ndoa

Msiopenda gharama huu ndio muda wa kufunga ndoa

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,727
Reaction score
13,466
Usifunge ndoa kwa msukumo, owa kama umejiandaa, sasa kama ulikuwa na mchumba wako na mlipanga kufunga ndoa owa sasa yaani hamna garama, maswali ya kufikiria sherehe kwa sasa hamna ukiowa unaenda nyumbani na mkeo unatulia.

Yaani maofisini huku now mambo ya michango hamna tunapumua, oa sasa wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naunga mkono hoja japo kwa wadada hapa unatafta ugomvi. Na ukikosa hata hio hela pia. Hata kukopa kipnd hiki ni kzuri sanaaa. Mmoja kati yenu anaweza aende karantini. Mmoja akitoka, mwingne anaendaaa, yaani mnapokezana.
 
Kwangu huu Sio Wakat wa kufunga ndoa. Ndoa gani inakua haina uzito [emoji16][emoji16]
.
Ndoa watu waje wale, wafurahi hata ukitoka hapo unaona kabisa. I did something big.
 
Back
Top Bottom