Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Every time you look into my eyes, you melt my heart and make me fall in love all over again. I love being loved by you. You are the reason for my smile and my happiness. I love you! Every day I...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Sijui ni kwasababu ya mila na desturi zetu, wanawake wameshindwa na hawana ujasiri wa kuelezea hisia za wanaume wawapendao(kutongoza), na ukikuta wanafanya hivyo ni wachache sana. tunaomba...
0 Reactions
74 Replies
11K Views
Habari wanajamvi na Heri ya pasaka,wakati dunia inaendelea na mapambano dhidi ya Covid-19 sio vibaya tukaendelea kuchukua taadhari ikiwemo kutokuwa na mitoko isiyoyalazima,tutumie muda mwingi...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Atuhumiwa kumuua mkewe baada ya kumfumania na mwanamume mwingine Polisi mkoani Mwanza linamshikilia Pastory Majura mkazi wa kijiji cha Nyamanga wilayani Ukerewe kwa tuhuma za kumuua mke wake...
5 Reactions
70 Replies
6K Views
Na nyie Wanaume wenzangu hebu muwe Kwanza mnaangalia na Wanawake wa Kuwaowa na si Kukurupuka kama hivi hatimaye Mkeo mwenyewe ambaye umemtolea Mahari, Unamlisha, Unamvalisha na kumpa Huduma zote...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Kiuhalisia nimetenda mambo ya kuidanganya nafsi kwa kumfikiria mambo vibaya huyu ndugu mfano nilijua ni kilaza. Kumbe nikajidanganya kumbe kuna watu wamechaguliwa na MUNGU ukimsema vibaya yeye...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Wanawake si viumbe wa kuchukuliwa serious! Kila ukianza kumchunguza tu, lazima ukutane na madudu ya kucheat! Ni heri kuwachukulia simple! Maisha yakasonga, mkazaa watoto, mkalea, nk Asilimia...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Jamal Jamal Miriam March 30 at 8:33 AM · Shilawadu Jicho la Dunia June 23, 2019 · __________________________________________ Baba alinisisitizia kuchukua likizo kazini nirudi nyumbani...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habarini wakuu leo nimekuja na hii nadharia ndogo, Katika utafiti wangu nilio ufanya hivi karibuni nimegundua kuwa mwanamme mwenye akili hawezi kuzaa na mwanamke zaidi ya mmoja. Hivyo nimegundua...
4 Reactions
42 Replies
6K Views
Mie ni kijana mwenye miaka 29, elimu yangu ni ngazi ya chuo kikuu nafanya kazi katika shirika natafuta mke mwenye sifa zifuatazo. 1. Awe mrefu mweusi mwembamba kiasi 2. Awe mkristu wa...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari za Ijumaa kuu ndg wanajamvi,Leo nimeona tutafakari Jambo hili kwa kina "Mwanaume anaweza kuchepuka na bado akawa na upendo wa dhati kwa mke wake lakini mwanamke hawezi kuchepuka na...
23 Reactions
38 Replies
6K Views
Huyu dada nmeanza naye kudate siku kadhaa... Nlimkuta Bikra. (Sijui asili au aliweka i dont care maana sikuwa hata naihitaji) sasa nmesha mtwanga mara tatu tayar ashazoea. Shida siku hizi ameanza...
1 Reactions
52 Replies
6K Views
Hakuna mtu anayeweza kuwatumikia mabwana wawili “Hakuna mtu anayeweza kuwatumikia mabwana wawili, kwa sababu, ama atamchukia mmoja na kumpenda mwingine, au atamthamini mmoja na kumdharau...
7 Reactions
20 Replies
3K Views
Hii ni katika kufanya uchunguzi wangu kwa hawa viumbe ndio nikaja kuona wanawake wanaojifanya wazuri sana huwa si lolote kwenye mapenzi hasa wale ukiwakuta wanajifanya wanamikogo mingi...
4 Reactions
33 Replies
4K Views
Kuoa mwanamke mrembo ni sawa na kulima shamba la miwa karibu na shule......
0 Reactions
4 Replies
971 Views
Habari! Leo nimekaa nikafikiria, kuna mambo watu tunafanya either kwa kujitoa ufahamu au kwa ku enzi ile kauli ya "love is blind" Haya makosa ukiyafanya yatakukosti maishani mwako (wakati na...
10 Reactions
53 Replies
5K Views
Moyo wangu unaumia sana una kidonda nimempenda mtu ambaye hana mda na mimi. Iko hivi, tumejuana miaka 9 kama marafiki kipindi chote alikuwa ananitaka ila si kuona muda muafaka, na si kutaka...
8 Reactions
63 Replies
8K Views
Nilibahatika kuchat pm na manzi fulani humu (sitamtaja Id) ila kiukweli tulikubaliana vizuri na namba tukapeana za whatsapp Baada ya kuchat kama wiki mbili hivi tukawa wapenzi yeye akiwa mkoa...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Je, huwa anakuwa... 1. Anakukoga ( Anakuringishia ) kuwa umeanika watu Wameanua? 2. Anakuambia kuwa bado anakupenda ila huyo Boya anayemuoa kaingia tu Mkenge kwake? 3. Anakualika uje umshuhudie...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Nina swali la kizushi kidogo kupunguza mawazo ya Covid 19 Kuna jambo nimelikumbuka nataka kushare na waungwana humu ndani kama na nyie mshakutana nao. Kuna msichana hakuwa mzuri wa kuhonga nyumba...
6 Reactions
126 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…