Wanawake wengi wanaojiona wazuri hawajui mapenzi

ngulukizi

JF-Expert Member
Oct 10, 2018
511
1,432
Hii ni katika kufanya uchunguzi wangu kwa hawa viumbe ndio nikaja kuona wanawake wanaojifanya wazuri sana huwa si lolote kwenye mapenzi hasa wale ukiwakuta wanajifanya wanamikogo mingi wanapotembea sijajua sababu huwa nini ila mara nyingi videmu vingi vinavyojifanya vipo kudeka deka huwa havina vinachojua kitandani tofauti na wale kuku wa kienyeji ambao wapo kawaida tu unapowaona nadhani kwa sababu wale huwa wanajichanganya na wale akina mama makungwi wa uswazi na kuwapa mawili ma 3 wafanye nini wakiwa na wenzao
 
Inawezekana uliunderperfom akabaki tu anakushangaa na hamu ikamwisha
 
Mwanamke ukimpenda ata akilala kama gwaji boy wewe una enjoy acha kutanga tanga mkuu

It is never to late to begin. Start now
 
Hii ni katika kufanya uchunguzi wangu kwa hawa viumbe ndio nikaja kuona wanawake wanaojifanya wazuri sana huwa si lolote kwenye mapenzi hasa wale ukiwakuta wanajifanya wanamikogo mingi wanapotembea sijajua sababu huwa nini ila mara nyingi videmu vingi vinavyojifanya vipo kudeka deka huwa havina vinachojua kitandani tofauti na wale kuku wa kienyeji ambao wapo kawaida tu unapowaona nadhani kwa sababu wale huwa wanajichanganya na wale akina mama makungwi wa uswazi na kuwapa mawili ma 3 wafanye nini wakiwa na wenzao
Upo sahihi 100% chief
 
Wewe Sema huna uwezo wakipesa Wala confidence ya kutongoza wadada wazuri... Kujifariji unataka kulazimisha kuwa wanaokufaa wewe kwa kipato chako na Hali ya uhandsome wako(SURA PRIVATE) ...Ndo wanajua Mapenzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashukuru ila naamini kwenye kipato sidhani kama unaweza kufika ya robo nilichonacho halafu mimi sijazungumzia mambo ya kipato mana nimetoka na waschana wa aina nyingi sana kwa sababu nimekulia kwenye ufukara mpk sasa ninaukwasi wa kunitosha kwa hiyo nimetembea kuanzia na makapuku mpk mameneja wa matawi ya bank hapa dar kwa hiyo ninachokiongea nina kijua samahani lakini kama nimekukwaza
 
Back
Top Bottom