Ndoa bana ni majanga tu...

Ndoa bana ni majanga tu...

Liverpool_Jr

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2019
Posts
1,220
Reaction score
1,417
Atuhumiwa kumuua mkewe baada ya kumfumania na mwanamume mwingine

Polisi mkoani Mwanza linamshikilia Pastory Majura mkazi wa kijiji cha Nyamanga wilayani Ukerewe kwa tuhuma za kumuua mke wake Amisulata James (52) baada ya kumfumania akifanya mapenzi na mwanamume mwingine ndani ya nyumba yao. Mtuhumiwa anadaiwa kumpiga mkewe hadi kusababishia mauti baada ya ‘mgoni; kutoroka.

Halafu wanakwambia ndoa za zamani zilidumu kwasababu ya uvumilivu...
Mi nadhani uvumilivu ambao unaumiza roho na nafsi ni ukatili wa hisia.

Yaani ukiwauliza vijana na ndoa zao wanaolia ni wengiii kuliko wenye furaha.Watu wanajuta kuingia kwenye ndoa

Sasa kama hali yenyewe ndio hii nadhani sasa hakuna haja ya kuoa na jamii ijaribu kuelewa hilo kwamba ambaye hataki kuolewa na kuoa wasitafsiriwe vibaya.

#YNWA
 
ndoa ni kama kazi.

mbaya ukiwa nayo.
mtu mzima haui sababu ya penzi,huyo mgoni amefariki kwa kusababishiwa majeraha.

watu wazima hakuna wasichokijua dunia hii,endelea kukaa nao watakufunda mengi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wazima wana ndoa zina halii mbayaa.
Mpaka wengine wanaomba suluhu kwenye msafara wa JPM.

#YNWA

Wrote from Anfield..!!
 
duh! nimetulia zangu staki shida na mtu kama vile sijabalehe.
 
Sasa huyu mie kwa kweli ndio namuita mwanaume sio wale mabwege wanaenda kumfumua marinda mwanaume mwezanke wakati mke ndio katoa papucbi mwenyewe.

Alafu huyu mke alimdharau kabisa mume mpaka akakuja gegedwa pale home inaonasha the bi.tch deserved to die.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom