Kipi kinaanza huduma au malipo?

Kipi kinaanza huduma au malipo?

Gwele

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2016
Posts
2,773
Reaction score
3,527
Nilibahatika kuchat pm na manzi fulani humu (sitamtaja Id) ila kiukweli tulikubaliana vizuri na namba tukapeana za whatsapp
Baada ya kuchat kama wiki mbili hivi tukawa wapenzi yeye akiwa mkoa mwengne, hivyo tukawa tunapanga ratiba ya yeye kuja nilipo akiwa off kazini kwake
Before hatujakutana kuna kitu kimepelekea penzi letu ( la nadharia) kufa hasa baada ya mwenzangu kuanza kuniomba hela wakati ambao hata kukutana nae tu bado achilia mbali mzigo(Main target).
Baada ya kuniomba hela nilikataa na kumpotezea mwana jf huyu lakini ajabu analalamika eti sikuwa serious na hapendi wanaume wadanganyifu kama mimi.
Hivi dada zetu ni sawa kweli kukuhudumia kabla hujatoa huduma au wanaume wenzangu ni sawa kutoa huduma kabla hujahudumiwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ni sawa kupanda gari kabla hujalipa Nauli?

CC Zero IQ
 
Mwanamke anaekutaka kwa sababu ya pesa si mwanamke tena ni entrepreneur.

Ulikua unanunua bidhaa kwani? , vijana mnalialia sana kwa vitu visivyo na hoja wala msingi, unachukua namba ya demu halafu ukiombwa hela unalialia unakuja anzisha na UZI kabisa, halafu mambo ya PM yabaki kuwa ya PM mmalizane huko huko

Respect is reciprocative
 
Mkuu kwani wapi kuna connection kuchua namba na kuombwa hela? Au namba zinauzwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana ni kawaida mbona? Utasahau na maisha yataendelea. Au wewe ndio yule Jamaa? Mshkaji kalia sana hapa kufilisiwa na demu wa JF
 
Nilibahatika kuchat pm na manzi fulani humu (sitamtaja Id) ila kiukweli tulikubaliana vizuri na namba tukapeana za whatsapp
Baada ya kuchat kama wiki mbili hivi tukawa wapenzi yeye akiwa mkoa mwengne, hivyo tukawa tunapanga ratiba ya yeye kuja nilipo akiwa off kazini kwake
Before hatujakutana kuna kitu kimepelekea penzi letu ( la nadharia) kufa hasa baada ya mwenzangu kuanza kuniomba hela wakati ambao hata kukutana nae tu bado achilia mbali mzigo(Main target).
Baada ya kuniomba hela nilikataa na kumpotezea mwana jf huyu lakini ajabu analalamika eti sikuwa serious na hapendi wanaume wadanganyifu kama mimi.
Hivi dada zetu ni sawa kweli kukuhudumia kabla hujatoa huduma au wanaume wenzangu ni sawa kutoa huduma kabla hujahudumiwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kodi ya nyumba. Unalipa kwanza, ndiyo unakaa katika nyumba.
Kwingineko kama restaurant, unakula kwanza,ndiyo baadaye unalipa.

Mademu wapo wa aina ya nyumba na restaurant. Nenda nao kufuatana na aina yao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom