Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari mm ni kijana mwenye miaka 27 naish Dar natafuta mwanamke mjasiriamali nataka nianzishe nae mahusiano then anizalie mtoto na nimesema awe mjasiriamal sababu itambid ajiajir mwenyewe Ila...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuu!! Nikianza na mimi 1.msikivu 2.mpole 3.mchamungu 4.mchapakazi 5........ ENDELEA NA WEWE☟☟☟☟ Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
70 Replies
4K Views
Wakuu nimegundua ukiufikia ujana ngono huiwez kuiepuka na wengi wao wanaojidai wamejiepusha ni wanafki ukiwafatilia utagundua ni wachakataji papuchi tu. Mimi binafs ni mtu ninae jitahidi...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari wanajamvi. Ufuatao ni utafiti mdogo niliofanywa kwa zaidi ya miaka mitano. Makundi yafuatayo husikia aibu kujitambulisha au kusema ukweli kwa mambo yao wenyewe. 1. Wanafunzi wa Masomo ya...
12 Reactions
56 Replies
8K Views
Habari wanajamvi hususani wanawake mlio singo na mnahitaji mwenza/mme wa maisha. Nami nimehamasika kuja uwanja huu kwani nimepata shuhuda kadhaa za waliofanikiwa kupata wenza humu jamvini...
7 Reactions
33 Replies
4K Views
Kama una miaka 18....na unaishi na wazazi wako au ndugu,na kila siku unapata milo mitatu hapo nyumbani kwenu,basi Wewe una mtaji mkubwa sana huwezi ukashindwa kuitengeneza kesho yako. Daaa...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Wadau kuna huyu binti nilikutana naye miezi michache iliyopita na tukabadilishana namba kiamani tu. Sasa kiukweli huyu binti anaonesha kunielewa sana mwamba, mara ooh umelala na nani, unafanya...
4 Reactions
77 Replies
6K Views
Uliniacha baada ya mambo yangu kuyumba na kukosa ajira. ukapata jamaa mwingine mwenye kazi nzuri na handsome. Nakumbuka nilitoa machozi kwa ajili yako ukasema umeona wengi wakilia. nakumbuka...
3 Reactions
29 Replies
6K Views
Habari hii inaweza isiwahusu wanandoa. Wale Kadamnasi hali ni tete wale wa Uganda/Kenya/Ghana kwenye full lockdown wameamua kulia ama kutoa vilio vyao kupitia mitandaoo Nimeona Ghana Raisi...
1 Reactions
3 Replies
908 Views
Poleni namajukumu ya Pasaka! Sambamba na hilo nichukue fursa hii kuwakumbusha ndugu zangu kuchukua tahadhali juu ya virusi hatari vya COVID19. Wakuu jana katika pitapita zangu nilienda kwenye baa...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Wanajamvi miongoni mwa changamoto za vijana wa leo ni pamoja na ukosefu wa ajira miongoni mwa vijana pamoja na kutokuolewa. Wapo wengi wanaohangaika kwa waganga kutafuta ndoa au ajira, nenda pia...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Mwanadamu asipotumika katika Mema basi atatumika katika Mabaya, asipomtumikia Mungu atatumikishwa na Shetani, usiposababisha makwazo utasababishiwa, Nifanyeje ili niweze kusamehe watu...
9 Reactions
77 Replies
8K Views
Habari watu wa humu, Ebwana ndugu zangu katika haya maisha mtu unaweza ukawa umejiwekea principles zako zitakazokuwa kama mwongozo wa maisha yako but ikatokea siku moja ukaenda kinyume na...
48 Reactions
241 Replies
29K Views
Nataka kujua hawa dada zetu waliokeketwa wakiwa wadogo hawajitambui kipindi hicho je wanakabilianaje na swala la kuridhishwa kimapenzi. Maana huwa nasikia ni wagumu sana kukojozwa kabisa sasa je...
1 Reactions
45 Replies
26K Views
Wandugu poleni na majukumu ya kila siku Wapwa, niko kwenye ndoa mwaka wa tano sasa. Nashindwa kuelewa haya maisha ya ndoa yana uhusiano gani na ya mahusiano kipindi bado hatuna watoto. Kweli...
5 Reactions
90 Replies
11K Views
Ndugu wasomaji wangu, ninawashukuru kwa kuwa nami bega kwa bega tangu mwanzo wa hadithi ya The Girl In My Dreams mkinishauri na kunikosoa pale nilipokwenda tofauti, niliyachukua mawazo yenu na...
18 Reactions
243 Replies
135K Views
Wanajamvi tuendelee kuchukua tahadhari na janga la corona, Niende kwenye mada straight, nimeoa mwaka wa pili sasa...before sijaoa nimepitia experiences nyingi za mahusiano, na kwa kiwango chake...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Nina tabia ya kupenda kujishika sehemu za siri nikilala au hata kama sijalala nikiwa peke yangu. Mpaka sasa hata nikiwa kwa group ya watu hali ya kutaka kujishika inanijia lakini na control...
3 Reactions
51 Replies
11K Views
Wadau kama umeoa usije pm . Tamaa zisije zikakupotezea sura. Humu mmejaa wanaume mlio nawakee pleasee . Msifungee bahati zetu kwa,uongo wenu kisa mnataka kutupotezea muda kama upo single unataka...
9 Reactions
45 Replies
3K Views
Nakumbuka siku moja katika pita yangu nikakutana na binti mmoja alikuwa Ni mwanafunzi anasoma kwenye moja ya international School ambayo ilikuwa pembezoni kidogo na yeye ametoka nje ya gate so...
8 Reactions
63 Replies
4K Views
Back
Top Bottom