Mwanamme mwenye akili hawezi kuzaa na mwanamke zaidi ya mmoja

Tajiri Mapesa

JF-Expert Member
Feb 26, 2020
707
695
Habarini wakuu leo nimekuja na hii nadharia ndogo,

Katika utafiti wangu nilio ufanya hivi karibuni nimegundua kuwa mwanamme mwenye akili hawezi kuzaa na mwanamke zaidi ya mmoja.

Hivyo nimegundua kwamba ukiona mwanamme amezaa na mwanamke zaidi ya mmoja ujue ana upungufu wa akili pengine yawezekana haelewi hata elimu ya uzazi wa mpango ni nini au kama anaelewa pengine amekalili tu definition.

Unajua watu wengi hudhani kwamba uzazi wa mpango ni kutumia mipira wakati wa kugegedana au kutumia vidonge vya kuzuia mimba. Sio hivyo kama kuna mwanamme amezaa na mwanamke zaidi ya mmoja huyo ni limbukeni hafuati uzazi wa mpango wala hauelewi.
 
Msameheni na yeye hapo ndo kawaza mpaka mwisho wa akili yake
Na Hawa ndio nawaitaga kenge!
 
Habarini wakuu leo nimekuja na hii nadharia ndogo,

Katika utafiti wangu nilio ufanya hivi karibuni nimegundua kuwa mwanamme mwenye akili hawezi kuzaa na mwanamke zaidi ya mmoja.

Hivyo nimegundua kwamba ukiona mwanamme amezaa na mwanamke zaidi ya mmoja ujue ana upungufu wa akili pengine yawezekana haelewi hata elimu ya uzazi wa mpango ni nini au kama anaelewa pengine amekalili tu definition.

Unajua watu wengi hudhani kwamba uzazi wa mpango ni kutumia mipira wakati wa kugegedana au kutumia vidonge vya kuzuia mimba. Sio hivyo kama kuna amezaa na mwanamke zaidi ya mmoja huyo ni limbukeni hafuati uzazi wa mpango wala hauelewi.
hayo ni maoni yako mkuu..nchi ya kidemokrasia hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini wakuu leo nimekuja na hii nadharia ndogo,

Katika utafiti wangu nilio ufanya hivi karibuni nimegundua kuwa mwanamme mwenye akili hawezi kuzaa na mwanamke zaidi ya mmoja.

Hivyo nimegundua kwamba ukiona mwanamme amezaa na mwanamke zaidi ya mmoja ujue ana upungufu wa akili pengine yawezekana haelewi hata elimu ya uzazi wa mpango ni nini au kama anaelewa pengine amekalili tu definition.

Unajua watu wengi hudhani kwamba uzazi wa mpango ni kutumia mipira wakati wa kugegedana au kutumia vidonge vya kuzuia mimba. Sio hivyo kama kuna mwanamme amezaa na mwanamke zaidi ya mmoja huyo ni limbukeni hafuati uzazi wa mpango wala hauelewi.

Sooooooo untrue
 
Mshikaji wangu ana watoto watatu kila mmoja ana mama yake. Daah. Huyu ndiye hamnazo kabisa kwa definition yako.
 
Idadi ya wanawake ni kubwa kuzidi wanaume! Au hujui??? Kila kitu kifanyikacho duniani ni mpango wa Mungu,zaeni muijaze dunia!.
Yani unachotaka kutuaminisha kwamba manabii na wateule wa Mungu akina Ibrahamu ambao walizaa na wajakazi wahawana akili???
 
Habarini wakuu leo nimekuja na hii nadharia ndogo,

Katika utafiti wangu nilio ufanya hivi karibuni nimegundua kuwa mwanamme mwenye akili hawezi kuzaa na mwanamke zaidi ya mmoja.

Hivyo nimegundua kwamba ukiona mwanamme amezaa na mwanamke zaidi ya mmoja ujue ana upungufu wa akili pengine yawezekana haelewi hata elimu ya uzazi wa mpango ni nini au kama anaelewa pengine amekalili tu definition.

Unajua watu wengi hudhani kwamba uzazi wa mpango ni kutumia mipira wakati wa kugegedana au kutumia vidonge vya kuzuia mimba. Sio hivyo kama kuna mwanamme amezaa na mwanamke zaidi ya mmoja huyo ni limbukeni hafuati uzazi wa mpango wala hauelewi.
Haujui unalolisema. Usamehewe.
 
Duh!... huenda ukawa sahihi ila sio sahihi Sana.

Correct but not Right.
 
Back
Top Bottom