Wapo wanaotongoza. We muulize heaven on earth analijuwa....Sijui ni kwasababu ya mila na desturi zetu, wanawake wameshindwa na hawana ujasiri wa kuelezea hisia za wanaume wawapendao(kutongoza), na ukikuta wanafanya hivyo ni wachache sana. tunaomba mtujibu ni kwann?
Kwa sababu ni wanawake...
Kwa nini pia wanaume hawezi kuwa na nyodo kama wanawake???
si kweli mimi mbona mabinti wananitongoza sana. pengine ujawavutia kwa lolote kuanzia sura adi $$ .
Kwanini ule mzigo wakati hakuvutiii??napenda mwanamke anifungukie,dah,tatizo anaweza akakutongoza ambaye hata hakuvutii na ukala mzigo ika ugomvi sasa kuachana
Etii ehhh unamaanisha lugha ipi hio body language ama?Wanawake hutongoza sana, tatizo lugha waitumiayo kutongoza si wanaume wote waielewayo.
Wanawake hutongoza sana, tatizo lugha waitumiayo kutongoza si wanaume wote waielewayo.
Sijui ni kwasababu ya mila na desturi zetu, wanawake wameshindwa na hawana ujasiri wa kuelezea hisia za wanaume wawapendao(kutongoza), na ukikuta wanafanya hivyo ni wachache sana. tunaomba mtujibu ni kwann?
Mi naweza aisee... Cha mno kujibana nini khaaa!!!!
Etii ehhh unamaanisha lugha ipi hio body language ama?
huwa wanatumia lugha gani kutongoza?