Mwanamke ukimchukulia serious, matokeo yake ndo haya

Akilitime

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2017
Posts
581
Reaction score
763
Wanawake si viumbe wa kuchukuliwa serious!

Kila ukianza kumchunguza tu, lazima ukutane na madudu ya kucheat!

Ni heri kuwachukulia simple! Maisha yakasonga, mkazaa watoto, mkalea, nk

Asilimia kubwa wanawake wote wana matendo sawa na yanayojirudia
 
Hizo ni tabia za mwanamke wako usiongee jumla jumla tu. Kwa kudhania.
 
Mnatutishi sisi ambao bado hatujaoa! Tusitishane 😜
 
Wal
Wanawake si viumbe wa kuchukuliwa serious!

Kila ukianza kumchunguza tu, lazima ukutane na madudu ya kucheat!

Ni heri kuwachukulia simple! Maisha yakasonga, mkazaa watoto, mkalea, nk

Asilimia kubwa wanawake wote wana matendo sawa na yanayojirudia
Wala hujakosea mkuu
 
Ni ni kwa wote siyo wanawake peke yao... Moyo wa binadamu ni kiza kinene...

Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom