Makosa yanayofanyika kwenye mahusiano na yanayoweza kukugharimu maishani mwako

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
21,251
34,198
Habari!

Leo nimekaa nikafikiria, kuna mambo watu tunafanya either kwa kujitoa ufahamu au kwa ku enzi ile kauli ya "love is blind"

Haya makosa ukiyafanya yatakukosti maishani mwako (wakati na baada ya mahusiano).

Kosa la kwanza: Kuingiliwa kinyume na maumbile.

Kosa la pili: Kupiga picha za uchi. Hili linajieleza.

Kosa la tatu: Kusomesha girlfriend/mchumba. Hili haliitaji maelezo zaidi.

Leo naishia hapa.

Kama una akili timamu elewa kama una akili ya kawaida kariri na kama una akili yenye mashaka basi print ubandike mlangoni ili uwe unajikumbusha kila saa.

Nimemaliza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo kitu ni ngumu hatari almost haiwezekani

Sent using Jamii Forums mobile app
umeona eeh hatari sana hiyo mkuu wengi wetu mapenzi yakiwa yameshika kasi tunajipa moyo,kisa unaona noma kuachia mzigo unaona kabisa ke unayetaka kumweka ndani ni moto wa mateso au me unaona kabisa ni baharia mzoefu ila unajipa moyo utambadilisha kwa mapenzi moto utakayompa,my friend hawabadilikagi hao ni mwendo wa kukonda tu ka umemeza viwembe sitakagi kabisa huo ujinga mimi.
 
Huu upuuzi wa kuleana eti atabadilika, siuwezi kabisa
 
Huu upuuzi wa kuleana eti atabadilika, siuwezi kabisa
umeona eeh mkuu wengi walio kwenye ndoa leo hii wanaosuffer waliona hatari uchumbani ila wakajipa moyo watawabadilisha wenzi wao,kitu ambacho katu hakiwezekani,nimejifunza kitu mtu mzima habadilishwi anabadilika akitaka mwenyewe,akiona Maisha anayoishi hayafai na hayana faid yoyte ana kichoka aina hiyo ya Maisha na si vinginevyo,period.
 
Back
Top Bottom