Wazo fikirishi la leo-Uoe ila ukubali yote

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,216
5,940
Kuoa mwanamke mrembo ni sawa na kulima shamba la miwa karibu na shule......
 
Hizi fikra hua znatoka wapi?! Mbna wapo warembo wametulia tu

Mnachukua mifano ya walioshindikana mnataka dunia nzima iamini unachoamini,
Hata hao wa kawaida sana mbna vivuruge tu,
Mwanamke kutongozwa kawaida halafu mafisi hayachagui umeolewa au unasura mbaya mzee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom