Hili suala ilinichekesha Sana

Hziyech22

JF-Expert Member
Jun 8, 2019
13,577
18,904
Nakumbuka siku moja katika pita yangu nikakutana na binti mmoja alikuwa Ni mwanafunzi anasoma kwenye moja ya international School ambayo ilikuwa pembezoni kidogo na yeye ametoka nje ya gate so nikakutana nae me nilikuwa hapo mwaka wa kwanza chuo.

Kiukwel nipomuona tu nikampenda na alikuwa mzuri Sana macho yalikuwa mazuri Kama ya paka hivi,Sauti yake unaweza kuombea mkopo benki ukapata mkopo bila hata kuwepo riba,tabasamu lake lilikuwa la bashasha linaondoa kabisa stress ulizonazo,kifuani mtoto chuchu saa sita,ngozi yake ni natural nzuri no mkorogo, miguu yake soft utazani aiwekea air condition muda wote kiufupi mtoto alikuwa analipa.

Wakati sijamtokoza niliwaza demu atakuwa advance level au form four na me napenda demu awe angalau kwenye hizo level za elimu cos naona demu anakuwa ni mature kidogo kiakili.Nikamwita huyo demu akaja nikabidi nimvute zaidi sehemu tulivu Hakuna watu akaniuliza mbona unanisogeza zaidi nikamwambia Kuna Jambo kubwa nataka tuongee kwanza kabisa swali la kwanza nikamuuliza upo kidato gani akanijibu yupo KIDATO CHA KWANZA 🤣mzee baba nilichoka kiakili mpaka mwili, moyoni nikajijibu form i hapana aisee ikabidi nichange gia angani 😄 nikazuga na kumuuiza hiv shule yenu ada ni shilling ngapi? Akajibu Ni laki 7 akaniuliza ndio hiko pekee ulichoniitia? Nikabidi nijiongeze kwa uongo nikamwambia nimekuuliza hivyo cos Kuna ndugu yangu anasoma hiyo shule tunampa ada laki 9 alipe kumbe! shule unalipia laki 7 akajibu ndio hivyo nikamwambia basi nenda shule.
 
Hhahah unapenda wanafunzi ila you drew the line asiwe wa form one hahah
Mie nakufananisha na mwizi anayeiba ndala msikitini
 
Huoni aibu kusema unapenda watoto
Kwani Kuna tatizo gani mwanafunzi wa chuo akawa na uhusiano na mwanafunzi wa A-level au O-level mbona hata kwenye mashuleni kulikuwa na mahusiano ya mapenzi.
 
Hhahah unapenda wanafunzi ila you drew the line asiwe wa form one hahah
Mie nakufananisha na mwizi anayeiba ndala msikitini
Form one wanakuwa hawaja pevuka kiakili kudate na form four au A-level mbona Hakuna tatizo Kama tunaanzisha mahusiano mashuleni wanafunzi kwa wanafunzi wewe unashangaa Nini kwangu?
 
Uko form ngapi sasa? nimeelewa kuwa wewe ni mwanafunzi wa chuo na unapenda watoto wa A level na form four
Mbona chuo kuna wadada wazuri tena wanajua kuoga na wamepevuka kimapenzi zaidi
Mie nimejifunza kitu ukiona mwanaume anataka visichana vidogo ujue muoga sana na hutaki kugharamia. Ila vitoto vya A level navyo vinakua vitafika umri wa kuwa matured zaidi

Innocent tafuta biashara tupige ili usiwe muoga wa kuhonga basi
 
Misingi ya mentality yao siongelei maungo yao
Me hapa nilipo Nina miaka 24 piga na mwaka wangu wa kwanza wa chuo nilikuwa Nina miaka 22 sitofautiana kiumri Sana na wao na nimeanza kujitambua nikiwa form 4 ukishakuwa form 4 huo ni mwaka teyali wa kujitambua cos unakuwa teyali una miaka 18 na upeo wako unakuwa kidogo mkubwa.
 
24?! Sikulaumu endelea na unayoyafanya
 
wakuu ficheni watoto wenu kuna mapedophile kama huyu mtoa mada.....
 
Uko form ngapi sasa? nimeelewa kuwa wewe ni mwanafunzi wa chuo na unapenda watoto wa A level na form four
Mbona chuo kuna wadada wazuri tena wanajua kuoga na wamepevuka kimapenzi zaidi
Mie nimejifunza kitu ukiona mwanaume anataka visichana vidogo ujue muoga sana na hutaki kugharamia. Ila vitoto vya A level navyo vinakua vitafika umri wa kuwa matured zaidi

Innocent tafuta biashara tupige ili usiwe muoga wa kuhonga basi
Sasa hivi Nina miaka 24 alafu kingine sio kwa sababu ninaogopa kuwa na uhusiano na mwanafunzi wa chuo ila me nimpenzi wa wanawake wazuri na huyo demu alikuwa mkali Sana kuliko mademu niliyowahi kuwaona ndo maana nikamtamani.
 
Hahahah aiseee
 
Uko form ngapi sasa? nimeelewa kuwa wewe ni mwanafunzi wa chuo na unapenda watoto wa A level na form four
Mbona chuo kuna wadada wazuri tena wanajua kuoga na wamepevuka kimapenzi zaidi
Mie nimejifunza kitu ukiona mwanaume anataka visichana vidogo ujue muoga sana na hutaki kugharamia. Ila vitoto vya A level navyo vinakua vitafika umri wa kuwa matured zaidi

Innocent tafuta biashara tupige ili usiwe muoga wa kuhonga basi
Mbona sioni tatizo maana mleta mada alikuwa first year. Hata mimi binafsi naweza kuwa na mwanafunzi wa A level, hawa wanachuo nakaa nao wala siwakubali kivile labda sijakutana na wakunibadilisha mentality yangu. Sanasana nafidia kwa kuwa interested na wanaosoma diploma. Labda nifike 3rd year ndo niweze kutazama 1st au 2nd.
Hata hivo niko single.
 
Back
Top Bottom